Anonymous Buddy
Member
- Jul 5, 2015
- 8
- 9
Binafsi namuona spika Ndugai kama moja ya maspika wabovu kuwahi kutokea Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na dada sema.Binafsi namuona spika Ndugai kama moja ya maspika wabovu kuwahi kutokea Tanzania
😹😹 Kumbe naye ni special groupSi kuko na clip anasema wasimuchezee ako na file Milembe
Unajidharaulisha sana Mzee MgayaBavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!
Hili suala la upendeleo ni hatari. Msukuma anamchambua bila staha prof. Twende. Spika anauliza kama anayechambwa yupo. Hata kama hayupo atayakoga tu. Angekuwa Waitara angetoa rungu mura.Pale Bungeni Hakuna Uongozi, Nadhani Elimu ya Speaker wetu ina Utata, Angekuwepo Ben Saanane angelikuwa Tayari Ameshahoji Hii elimu ya Mtu huyu Maanake the way anavyo-comments kwenye Michango Mipasho ya Wabunge Form Seven Inasikitisha. Inawezekanaje Unampa dakika 15 za upendeleo Mbunge Form 7 (Kibajaji na Genge lake ) ndiye waanze Mipasho na Kuwadhalilisha Wasomi Kwenye Kikao cha Budget..
Ni kikao cha Ccm kwa style tofautiHakuna bunge lile ni kusanyiko la wahuni