Aisee, Yani Marais pamoja na kupakiwa humo bado hapakua na dereva wa kuwaendesha, ama namna GANI pale

Kama ndivyo Basi watu weupe hakuna wafanyalo KWa bahati mbaya,

WENDA hii ni makusudi ya kuwaonyesha sio lolote tokana na mataifa Mengi ya Afrika kutoonyesha MOJA KWa MOJA kuwaunga mkono katika vita ya Urus na Ukrein , wamepiga ndege mbili kwa jiwe moja
 
Hizo ni comments zako!
 
GENTAMACYNE ANA STORI ZA KUFIKIRIKA, SIO KWELI KABISA ASEMACHO,
 
Kuna nyani weusi na weupe hivyo wewe Waite wao ni nyani weupe
 
GENTAMYCINE , game changer, super talented, interteiner hili jambo naomba uende nalo taratibu Kiongozi wangu. Limeleta taharuki na wenye ajira zao hawatakubali likapita kimya kimya. Naomba uendelee kutupa burudani zingine ila hili achana nalo.

Huo ni ushauri wangu kwako Bado tunahitaji sana kupata burudani na elimu kutoka kwako.
 
Mwenye kaweka mkono mdomoni 😂😂😂 anahusika na tozo😂
 
 
Hata hao uwasemao nafikiri wana sense of humour.
 
jamaa unajua sana kujitungia vitu za uongo. Weka hapa screenshot ama Kiunganishi nasisi tukasome kama ni kweli. Tofauti na hapo ni ujuaji na ulevi wa changaa unakutesa
 
Ikawaje Biden akaingia na Beast yake kama ni hivyo?
 
Ikawaje Biden akaingia na Beast yake kama ni hivyo?
Biden anasaidiwa na nguvu kubwa ya nchi yake, vinginevyo naye wanamchukulia kama waziri mkuu wao Lizz Truss tu maana hata Marekani ilikuwa na waziri mkuu ilipokuwa chini ya Malkia......
 
mti wa mbuyu ni mbuyu tu, hata kama siku utatoa majani ya mpapai usisahau kuwa ni mbuyu.

FATA MZIZI.
Kwa wazungu Kuto kumdharau na kumbagua mtu mweusi ni tabia ya ziada na ya asili kwao na ni ya kujifunza na ni tendo la kujilazimisha na ku pretend, lakini ubaguzi dhidi ya mtu mweusi na dharau ndio default behaviour ya mzungu nao ndio uhalisia wake
 
Hizo comment hujaziweka kuthibitisha hayo otherwise ni mawazo yako na ndivyo unavyowasema viongozi wako. Sijaona tatizo la kutumia hayo ada long as lengo lilikuwa kupunguza foleni, fikiria kama Kila raisi angeingia na msafara wake?? Kungekuwa na changamoto kwenye ulinzi, kama mechi ziliahirishwa kwasababu ya kuwa na askari wachache waliobaki, sawa wamepanda kwenye hayo mabasi je Kuna tatizo la kiusalama limeonekana? Alipofariki Nyerere walikuja hao mabeberu kutoa heshima za mwisho, tusione kama viongozi wetu wamedharirishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…