Sikatai CCM kulikuwa na mafisi Lakini majengo ya CCM kibao mazuri sanacya ofisi na vitega uchumi yalijengwa .Haya chadema mnakosema hakuna mafisi jengo la makao makuu mbona liko kama Banda la kufugia kuku na hakuna kitega uchumi hata kimoja.Hivi huko kuna mwenye akili timamu kweliView attachment 1181724
Mwenyekiti wa kudumu ni wa kwetu, ninyi kinachowawasha ni nini? Mungu mbariki Mbowe
Kiukweli chadema wanafanya uzembe sana kutojenga ofisi.wangeanza watu wangechangia.kwa sasa wananyimwa kumbi zote za mikutano kufanyia vikao vyao kwa sababu wafanyabiashara wanaogopa kibano cha magu.
Mhuuuu,watu bana wanawachuria wenzao eti ' next election watamalizika? WAO JE MA CCM,WANADHANI watakuwa salama?maana hali ya hewa ni chafu mno humo ndanina huku nje watu wnawasubiri kwenye kisanduku ha kura wawamalize,maisha yamewazindua wengi,uhalisia si maneno yenu matupu na mijisifa isiyokuwa na kipimo,.Binadamu hali maneno wala haishi kwa press release zenu za kisanii za kurudishiwa dhahabu kutoka kenya,au kusifiwa kumkamata mtendaji wa Takukuru,.Mimi mtu wa kawaida inanisaidia nini hii wakati nikihihitai tiba nilazima nitowe noti mfukoni? Kula yangu ya kila siku ni kukimbizana na Manispaa,na Uchumi ulivyo fubaa hata hizo biashara zime pwaya mno ,kwani umasikini umekithiri kiasi cha kuwa kila mtu amekuwa mchuuzi wa bidhaa za kichina,na akina mama wamekuwa mama ntilie,na wengine wanauza uji kila kona ya taifa,matumaini yamebakia ijini tuu,kubangaiza angalau upate kula ya leo,kesho Mungu yupo,tunaishi kwa imani zaidi.kama alivyoagiza Nabii issa,.πMmeshindwa kunenga nyakat zile mnapata mamilion ya ruzuku, mtajenga sasa wabunge weng wamewakimbia na kupunguza ruzuku? Jitahidin mjenge angalau choo maana next election mnamalizika
Kama walishindwa kujenga Jengo walipomchukua Lowasa wasahau.Ila Pwani nwwapongeza walitumia pesa za Sumaye kikamilifu Wana Jengo zuri Sana.Sumaye alipoingia chadema hawakumkawiza wakamkwapulia pesa zake chap chap na kumpa cheo Cha mwenyekiti wa chadema Kanda ya Pwani akawajengea Jengo.Lowasa alikwenda na matajiri Akina Rostam Aziz nk na matajiri wengi walikuwa nyumma Yake wangewatumia ilikuwa kazi ndogo tu.Chadema walikuwa na matajiri wengi Sana kuondoka kwa Lowasa na kufariki ndesamburo kumebomoa daraja linalounganisha chadema na matajiri.Sasa hivi Sio rahisi.Chadema mitandaoni hawatoi hela kwanza hawana Ni porojo tu.Ruzuku inakatika muda mfupi tu miezi michache ijayo .Hata waseme ruzuku yote iliyobaki watatumia kujenga hela haitoshi na uchaguzi mkuu watakuwa pesa hawana na mishahara ya wafanyakazi pesa itakuwa hamna.Kiujimla hiki kinachosemekana mchoro wa jengo la makao makui Ni ramani hewa iliyoletwa kuwa lagjai wanachadema kwa lengo analolijua Mbowe na genge lake la Akina Godbless lema tu
Nimeipenda hii, "mbwa koko hawaruhusiwi"Suala la uenyekiti wa Mbowe ni suala la Chadema na mbwa koko hawaruhusiwi kulijadili,mumeshindwa ku- impose mtu wenu inawauma, pambaneni na Membe kwanza.
hili jengo likijengwa naomba mnipige risasi
Wanajenga kwenye kiwanja cha Mwasisi wa chama kilichopo Dsm ili wawe wanatozwa kodi ya kiwanja kila mwezi.Hatimaye iitwayo saccoss imeamua kuwa na ofisi zake? Wanajengea makao makuu au kwenye mji wa biashara?
Mbowe hana haja ya kufanya jambo lolote ili apitishwe. Kupita atapita tu na hata asipopita hilo jengo litajengwa tu.Kampeni hewa ya mbowe hiyo kutaka aendelee kupewa uenyekiti chadema.Uchaguzi mkuu wa chadema uko njiani.Sasa hivi utasikia kila Aina ya propaganda za chadema sijui kufanya hiki sijui kufanya kile vyote hewa hewa tu kuwalaghai Wana chadema
Ya kichwa mkuu ....ππ yani ukiona hata wamechimba msingi wa gorofa nichape risasi tatu za kichwaYa kichwa ama ya mguu? [emoji23][emoji23]
Who knows maybe ni mtu mmoja πππHilo jamaa ni zuzu, halibadiliki. Linajipendekeza mno kwa huyo mahondaw
Unasifia majengo ya ccm ilhali unaishi chumba kirefuSikatai CCM kulikuwa na mafisi Lakini majengo ya CCM kibao mazuri sanacya ofisi na vitega uchumi yalijengwa .Haya chadema mnakosema hakuna mafisi jengo la makao makuu mbona liko kama Banda la kufugia kuku na hakuna kitega uchumi hata kimoja.
Risasi ya nini wewe unapigwa mti tu.Ya kichwa mkuu ....[emoji23][emoji23] yani ukiona hata wamechimba msingi wa gorofa nichape risasi tatu za kichwa
Wivu ni kitu kibaya sana....,Mbona jengo limekaa kizamani kabla halijajengwa?
Tafuteni wabunifu wa majengo ya kisasa, achaneni na ushamba huo. Madirisha utafikiri jengo lote ni la vyoo.
Mwaka 2019 huu. Mko wapi? '60s?
du.... itabidi na sisi lile godown letu pale Dodoma tulipige greda halafu tuweke kitu kama hichi aisee!!