Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni
Tunawanachama na wafuasi kama mil mbili.

Sasa kama tukichana elfu kumi kumi tuna uhakika wa kupata bil mbili.

Bil mbii tunasimamisha jengo la maana kabisa.

Au tukichangishana zitatafunwa kama tulivyotafuna pesa za mzee Sabodo?
Punguza ujuha wewe! Project Yako hiyo haikuletei mboga jikoni tafutq mbingu nyingine ya kupata pesa kwani hii ya kuisakama cdm huna akili hizo zaidi no utoto au ujinga tu unakusukuma kujaza server!
Au unaotembea na bit la madc ukiamini utapata shavu la bi mkubwa? Kauze nyanya uwajengee wewe kwani hizo bilioni unazoziwazia CAG ana taarifa zake! Itoshe kujiambia kuwa hangaika na ccm Yako acha ubwege!
 
Lack of Iq
 
Nacheka kwa sababu unanipakazia. Mimi sio MccM
Acha kuongopa, wewe ni ccm albino na Tena mpo Kama kumi hivi mnalipwa na mbunge mmoja kuichafua cdm na mwenyekiti wake! Faili lenu ninalo na ukibisha nitakuwekea sound note zenu hapa!
 
Tunawanachama na wafuasi kama mil mbili.

Sasa kama tukichana elfu kumi kumi tuna uhakika wa kupata bil mbili.

Bil mbii tunasimamisha jengo la maana kabisa.

Au tukichangishana zitatafunwa kama tulivyotafuna pesa za mzee Sabodo?

Yaani wewe na CDM tu sijui walikufanya nini ,u always on their KCID.
 
hii mada ya ofisi ni ngumu ngumeza. tuachane na hayo,nasikia bi mdashi katoa mkeka mpya huko?
 
CDM wanajenga Ofisi na wanajenga kimyakimya kuogopa hujuma/sabotage ya watawala hapo Ufipa panabaki ofisi za BAVICHA wing yao ya vijana.
 
Back
Top Bottom