Lissu hiyo pesa ataipata wapi? Magufuli anakusanya Kodi.Kwa bajeti itakayopitishwa na Bunge
Hivi Magufuli hela anayotapanya kwenye ununuzi wa ndege, ujenzi wa uwanja wa ndege Chato, na kusafirisha twiga toka Serengeti kupeleka Chato, bajeti yake huwa inatoka wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM KAMA CCM Hawataweza kuitekeleza waki copy .!!Sitashangaa kama CCM watai copy hiyo ilani yao.Imegusa moja kwa moja maisha ya wananchi.
Mwanzo mzuri sana.
Siyo kipaumbele chetuVipi kuhusu Katiba Mpya maana ilani ya 2015 ilikua na hiyo issue CCM
Ndugu kuwa mkweli mm ni mtumishi barabara napita ila nilipo maji ya shida, najitahidi kufanya kazi kweli kweli ili weledi uonekani lakini malipo ni kidogo anayo nilipa, sasa je ni vizuri nifanye kazi kwa uafanisi mdogo ili nikimbie kuona kama nitaingiza miambili kama unavyosema?Bars bara Mnapita Umeme mnatumia Maji kibwena amani telee unataka hela mfukoni Fanya kaziiii ufaidike ukiwa kitandani unachati.
Ivi Unafikiri Steve Nyerere Angekuwa Mgombea Wa CHADEMA akaandikia kuyaongea Haya Nageshindwa Hahaha Tunachotaka sisi Atuambia Strategy ambazo atatumia kutimiza hayo Maana Hakuna Alichotumbia Atakifanya Kwa mfumi UPI kasema tu Bima ya Afya kwa kila Mtanzania how hamna plan Mnaongea Tu inatakiwa Mtushawish mtanya nini Tofauti na Magufuri mnayoyaongea ni cheap politics
Kwani akichaguliwa Lissu, Magufuli wako ataendelea kukusanya kodi? Majitu mengine mkoje?Lissu hiyo pesa ataipata wapi?Magufuli anakusanya Kodi
Tulia kidogo,nijibu hiyo pesa ataipata wapi ambapo Magufuli kashindwa kuipata?Kwani akichaguliwa Lissu, Magufuli wako ataendelea kukusanya kodi? Majitu mengine mkoje?
Magufuli alitunga sera yake ya kugawa milioni 50 kila kijiji akakwama badala yake akajenga uwanja wa kimataifa Chato.Hakuna hata kimoja alichoongea ambacho Kiko kwenye ilani ya Chadema iliyopitishwa na chama anaongea vitu vya kutunga kichwani kwake
Mgombea Uraisi anatakiwa kuwakilisha ilani ya chama chake sio vitu vya kujitungia
Nendeni muone Magufuli alivyowakiwasha ilani ya CCM Leo kwenye uzinduzi
Chadema huu mtindo wenu wa wagombea kujitungia vitu watakavyofanya bila kutumia ilani tumewachoka
Kapangili nini zaidi ya Kutaja bila kufafanua ni jinsi gani Atawakwamua Watanzania anahisi wako kwenye dimbi la umaskini
Unafikir ni watanzania wangap wako nyuma ya hao watumishi wa umma?Usiseme sehemu kubwa ya Watanzania.
Hivi wafanyakazi wa umma hapa nchini ni % ngapi?
Huyo hajui kupanga vipaumbele!Tulia kidogo,nijibu hiyo pesa ataipata wapi ambapo Magufuli kashindwa kuipata?
Lissu jana kawapiga mataga chenga ya maana sasa hivi wanahara damu.Ni Yeye. Lissu ndio Raisi wetu. Walitaka jana amwage sera zake ili wacopy kama kawaida yao tumewaotea imekula kwao.
Hiyo ni sheria au kanuni namba ngapi ya Uchaguzi?Naona mnaanza kubaki basi taratibu. Ngoja mashambulizi yazidi kushika kasi lazima mtapoteana. Halafu inatakiwa apate masaa mawili kwenye TV ahojiwe na kujibu maswali kwa ufasaha. Huko kwenye mjadala kwenye TV tunajua Magufuli hatathubutu.
Hiyo ni sheria au kanuni namba ngapi ya Uchaguzi?
🤣🤣🤣 mataga mmeanza kuhara damu.Yote aliyoongea hakuna hata moja lililoko ndani ya sera na ilani ya Chadema huyu Lisu hajui hata kuwa mgombea Uraisi maana yake nini
Waandishi wa habari ombeni sera na ilani ya Chadema mlinganishe na anavyoongea Lisu . Lisu anaongea vitu anavyoota hewani kinachomjia hewani ndicho anasema nitafanya!!! Very sad
Chadema mlazimisheni anadi sera na ilani za Chadema zilizopitishwa na chama aache kutunga vitu hewani
Aheshimu maamuzi ya Chadema asijitungie vyake msipomlazimisha hatajali Ni very arrogant .Sasa sera na ilani mlipitisha za Nini Kama mgombea Uraisi hazinadi? Mlipitisha Kama pambo au?
Lisu anaongea Kama mgombea binafsi Sio wa chama.Mgombea wa chama lazima anadi ilani na sera za chama Sio ndoto zake !!!
Lisu Leo Tena kashindwa kuwasilisha sera na ilani ya Chadema siku ya pili ya uzinduzi
Huyu hakujiandaa kwa Uraisi kupitia chama yupo yupo tu