Lissu ameyasema yaliyomo kwenye Ilani ya CHADEMA na mgombea wetu Magufuli amesoma mfano SGR,JNHPP,.Milioni 50 kila kijiji,kuvifunga vyuo vikuu vya taasisi binafsi,kutolopa pension za watumishi,kutopandisha mishahara na kubinya Demokrasia.... tuendelee kumnadi JPM sasa na hizo seraHajasoma ilani hayo aliyosema hayamo kwenye Ilani ya Chadema
Kama wewe???unayesikiliza famba nakudhania ni uhalisia
Iko kwenye sera chini ya mawasiliano na uchukuzi katika vitu chini ya hiyo aliongelea barabarani,ununuzi wa ndege ya mizigo no rudia kumsikiliza alikuwa anasoma heading kubwa na subheading ya vilivyomo heading kubwaMgufulu
Magufuli amesema ataongeza ndege zingine 5. Ndio sera yake kubwa
Jamani si tulisema hawana sera..Tunaka namna ya kufanya hayo yote, hatuki mbwembwe, eleza sera na namna utakavyoitekeleza
Vipi kuhusu Katiba Mpya maana ilani ya 2015 ilikua na hiyo issue CCMIko kwenye sera chini ya mawasiliano na uchukuzi katika vitu chini ya hiyo aliongelea barabarani,ununuzi wa ndege ya mizigo no rudia kumsikiliza alikuwa anasoma heading kubwa na subheading ya vilivyomo heading kubwa
Kabisa Ni aibu Basi tuombe Mbowe awakilishe sera na ilani ya Chadema Kama mwenyekiti taifa huyu mgombea wake hataki kuiwakilisha kwa wananchi .Tunaomba Mbowe fanya hiyo kazi tafadhalichadema mwaka huu ni aibu tupu,mgombea urais wenu ni zaidi ya mzigo πππ
Kwan JPM alitoa mikakati kuwa chanzo cha kujenga Stgr sjui Rufj project kitakua ni kuminya ongezeko la mishahara ya wafanyakazi? Na nk?Kusema ni rahisi....
===
Ningependa kujua mikakati atakayotumia kufanikasha ahadi hizi! Huku serikali yake ya kufikirika ikiweza kutimiza majukumu yake! Kama kuna mahali amefafanua haya naomba link ya chanzo cha habari hiyo.
Karibu.
Utatukana sana mwaka huu wewe kabavichaWapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Tanzania bora ungeishia kwenye ndom tu.
Kwa bajeti ipi?Kwa sera anazomwaga Tundu Lissu usipompa kura utakua na lako.
1: Maendeleo ya watu
Wote waliodhurumiwa na kuvunjiwa sehemu za makazi bila compensation watafidiwa
2: Atakuza uchumi na shughuli za maendeleo kwa kupunguza utitiri wa kodi
Toka utitiri wa kodi 1 hadi 1 tu, ambayo ni 10%ya bidhaa ulizoagiza.
3. Kitambulisho cha machinga kutolewa bure
4: Wafanyakazi kutoongezewa mshahara itakuwa mwiko - ataanza kwa kufidia miaka 5 ambayo hawajaongezewa Mshahara.
5. Watumishi waliofukuzwa kazi kwa sababu zisizo na mashiko itaangaliwa namna ya kuwafidia.
6. Mafao ya kustaafu yatalipwa kwa wakati
4: Ataboresha kwa kuongeza wigo wa mikopo ya wanafunzi wa chuo kikuu. Pia ataondoa ongezeko la 15% la marejesho ya mikopo kwa wanufaika
Bado anatema cheche.
Wapi kuhusu wakulima, wafugaji, wavuvi n.k?Kwa sera anazomwaga Tundu Lissu usipompa kura utakua na lako.
1: Maendeleo ya watu
Wote waliodhurumiwa na kuvunjiwa sehemu za makazi bila compensation watafidiwa
2: Atakuza uchumi na shughuli za maendeleo kwa kupunguza utitiri wa kodi
Toka utitiri wa kodi 1 hadi 1 tu, ambayo ni 10%ya bidhaa ulizoagiza.
3. Kitambulisho cha machinga kutolewa bure
4: Wafanyakazi kutoongezewa mshahara itakuwa mwiko - ataanza kwa kufidia miaka 5 ambayo hawajaongezewa Mshahara.
5. Watumishi waliofukuzwa kazi kwa sababu zisizo na mashiko itaangaliwa namna ya kuwafidia.
6. Mafao ya kustaafu yatalipwa kwa wakati
4: Ataboresha kwa kuongeza wigo wa mikopo ya wanafunzi wa chuo kikuu. Pia ataondoa ongezeko la 15% la marejesho ya mikopo kwa wanufaika
Bado anatema cheche.
Labda serikali ya MAGUFULI. Akipita Lissu yeye kasema mpaka uwe na ajira. Au ujasiriamali nao ni ajira kwa maana ya general au kawaida.Wakiamua kukutrace through TIN number huchomoki mkuu labda uishie umachinga tu.
Mmmh, basi Mimi sikumuelewa maana kasema wenye ajira na akarudia.Nadhani hapo amezungumzia kwa upande wa watakao kuwa hawana kipato kabisa ila ukijiajiri/biashara unapaswa ulipe pia.
Kwa bajeti ipi?