Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Hajasoma ilani hayo aliyosema hayamo kwenye Ilani ya Chadema
Lissu ameyasema yaliyomo kwenye Ilani ya CHADEMA na mgombea wetu Magufuli amesoma mfano SGR,JNHPP,.Milioni 50 kila kijiji,kuvifunga vyuo vikuu vya taasisi binafsi,kutolopa pension za watumishi,kutopandisha mishahara na kubinya Demokrasia.... tuendelee kumnadi JPM sasa na hizo sera
 
Mgufulu

Magufuli amesema ataongeza ndege zingine 5. Ndio sera yake kubwa
Iko kwenye sera chini ya mawasiliano na uchukuzi katika vitu chini ya hiyo aliongelea barabarani,ununuzi wa ndege ya mizigo no rudia kumsikiliza alikuwa anasoma heading kubwa na subheading ya vilivyomo heading kubwa
 
Vipi kuhusu Katiba Mpya maana ilani ya 2015 ilikua na hiyo issue CCM
 
chadema mwaka huu ni aibu tupu,mgombea urais wenu ni zaidi ya mzigo 😀😀😀
Kabisa Ni aibu Basi tuombe Mbowe awakilishe sera na ilani ya Chadema Kama mwenyekiti taifa huyu mgombea wake hataki kuiwakilisha kwa wananchi .Tunaomba Mbowe fanya hiyo kazi tafadhali
 
Kusema ni rahisi....
===
Ningependa kujua mikakati atakayotumia kufanikasha ahadi hizi! Huku serikali yake ya kufikirika ikiweza kutimiza majukumu yake! Kama kuna mahali amefafanua haya naomba link ya chanzo cha habari hiyo.

Karibu.
Kwan JPM alitoa mikakati kuwa chanzo cha kujenga Stgr sjui Rufj project kitakua ni kuminya ongezeko la mishahara ya wafanyakazi? Na nk?

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kwa sera anazomwaga Tundu Lissu usipompa kura utakua na lako.

1: Maendeleo ya watu
Wote waliodhurumiwa na kuvunjiwa sehemu za makazi bila compensation watafidiwa

2: Atakuza uchumi na shughuli za maendeleo kwa kupunguza utitiri wa kodi
Toka utitiri wa kodi 1 hadi 1 tu, ambayo ni 10%ya bidhaa ulizoagiza.

3. Kitambulisho cha machinga kutolewa bure

4: Wafanyakazi kutoongezewa mshahara itakuwa mwiko - ataanza kwa kufidia miaka 5 ambayo hawajaongezewa Mshahara.

5. Watumishi waliofukuzwa kazi kwa sababu zisizo na mashiko itaangaliwa namna ya kuwafidia.

6. Mafao ya kustaafu yatalipwa kwa wakati

4: Ataboresha kwa kuongeza wigo wa mikopo ya wanafunzi wa chuo kikuu. Pia ataondoa ongezeko la 15% la marejesho ya mikopo kwa wanufaika

Bado anatema cheche.
Kwa bajeti ipi?
 
Wapi kuhusu wakulima, wafugaji, wavuvi n.k?
 
Wakiamua kukutrace through TIN number huchomoki mkuu labda uishie umachinga tu.
Labda serikali ya MAGUFULI. Akipita Lissu yeye kasema mpaka uwe na ajira. Au ujasiriamali nao ni ajira kwa maana ya general au kawaida.
 
Nadhani hapo amezungumzia kwa upande wa watakao kuwa hawana kipato kabisa ila ukijiajiri/biashara unapaswa ulipe pia.
Mmmh, basi Mimi sikumuelewa maana kasema wenye ajira na akarudia.
 
Back
Top Bottom