ingawa hakuna TV inayoonyesha mikutano yake, nashangaa hadi Rais Magufuli anamjibu Lissu. Ina maana kwamba atakuwa anamuangalia Lissu kupitia YouTube, WhatsApp au Facebook.
Jalalani ni neno alilotumia Waziri Kabudi, na Lissu alimjibu Rais Magufuli kazi awape watu wake wa Jalalani, ina maana ya wakina Kabudi. Mbaya Zaidi Magufuli na timu yake wanaondolewa kwenye SGR , Stigler, Midemge na sasa ni kumjibu Lissu tu. Nadhani sasa majuto ndio mjukuu, maana tunacheza nyimbonza wapinzani
CCM tunapata aibu kubwa sana. Agenda zetu zimeyeyuka gjafla na aibu kila kona