Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Nmeuliza wafanyakazi wa umaa hapa nchinu ni % ngapi?
Hata wangekuwa ni 1% unachopaswa utambue ni kwamba wafanyakazi wakiongezewa mishahara zile pesa wanazisambaza chini kwa raia wa kawaida, unapaswa ujue kuwa pesa uwafikia Raia wa kawaida kutokana na malipo inayofanya serikali kwa watumishi wake, mfno mfanyakazi akilipwa elf 10, hiyo elf kumi anaweza kuisambaza kwa raia wa chini kumi kwa kiasi cha shiling elf moja kwa kila mmoja, lakini akipewa elfu tano basi kila mmoja atapata mia tano au kama ni kwa kiwango cha elfu moja basi atawapa watu watano tu na watano watakosa. Hivyo kuwanyima nyongeza ya mishahara watumishi maumivu hayaishii kwa watumishi tu bali husambaa hadi chini kabisa.
 
Unajua kila Mwaka ukipandisha Mishahara na Mfumuko wa bei nao lazima upande, kwa hiyo maumivu yatabaki palepale, cha msimgi ni kudhibiti Mfumuko wa bei basi!!
 
ingawa hakuna TV inayoonyesha mikutano yake, nashangaa hadi Rais Magufuli anamjibu Lissu. Ina maana kwamba atakuwa anamuangalia Lissu kupitia YouTube, WhatsApp au Facebook.

Jalalani ni neno alilotumia Waziri Kabudi, na Lissu alimjibu Rais Magufuli kazi awape watu wake wa Jalalani, ina maana ya wakina Kabudi. Mbaya Zaidi Magufuli na timu yake wanaondolewa kwenye SGR , Stigler, Midemge na sasa ni kumjibu Lissu tu. Nadhani sasa majuto ndio mjukuu, maana tunacheza nyimbo za wapinzani.

CCM tunapata aibu kubwa sana. Agenda zetu zimeyeyuka ghafla na aibu kila kona.
 
ingawa hakuna TV inayoonyesha mikutano yake, nashangaa hadi Rais Magufuli anamjibu Lissu. Ina maana kwamba atakuwa anamuangalia Lissu kupitia YouTube, WhatsApp au Facebook...
Lissu alishamwambia arushu vyombo vya habari vitangaze kwa uhuru asimalizw bando lake kumfatikia kwenye youtube na whatsapp.

Jamani Lissu anajua kumkera mtu.

Kumbe ilikuwa kweli.

Jpm, Samia, akina Mwigulu wote wanamfatikia kwenye youtube.

Teknolojia ni chombo kizuri na hatari mno.
 
ingawa hakuna TV inayoonyesha mikutano yake, nashangaa hadi Rais Magufuli anamjibu Lissu. Ina maana kwamba atakuwa anamuangalia Lissu kupitia YouTube, WhatsApp au Facebook.

Jalalani ni neno alilotumia Waziri Kabudi, na Lissu alimjibu Rais Magufuli kazi awape watu wake wa Jalalani, ina maana ya wakina Kabudi. Mbaya Zaidi Magufuli na timu yake wanaondolewa kwenye SGR , Stigler, Midemge na sasa ni kumjibu Lissu tu. Nadhani sasa majuto ndio mjukuu, maana tunacheza nyimbonza wapinzani

CCM tunapata aibu kubwa sana. Agenda zetu zimeyeyuka gjafla na aibu kila kona
Hili segere usipime

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom