Mjinga wee


SASA WANGEONGEA NINI, WAKATI JPM HATA HUO MKATABA USINGELETWA MEZANI KWAKE.

WANGEONGEA NN??.


PUNGUZA UPUNGUANI
 
Punguza umbea
Huu sio umbea ni kutaka habari kama jet ilizuiliwa huo sio umbea tunataka kujua nani anadhulumu mali zetu. Mshangao Dubai ni tajiri kweli kijindege chetu kimechoka kutaka kukamata sio style ya Makthoom kwa hiyo hao watakuwa matapeli wa bongos waliomdanganya raisi
 
Mbona kama hili tamko la maaskofu limekulevyaa.
 
Kinachonifuraisha kuhusu huu mkataba ni kwamba unatugawa wakristo na waislamu, wabara na waunguja, Chadema na CCM, waliosoma na wasiosoma, wapiga dili na wasiopiga dili, wanufaika na walalahoi, wabunge na wananchi, serikali na wananchi.
Vingozi wa dini na viongozi wa serikali, wanasheria wasomi na wanasheria vilaza listi ni ndefu na ikufikie kwenye kiti chekundu.
 

Ndo maana hujawa kiongozi wa dini, kama ambavyo hawajaingilia maoni yako kama muhuni, na wewe usiingilie yao kama viongozi wa dini.
 
SSH ushauri umeusikia lakini sio lazima kuufata.

πŸ‘‰Uwekezaji wa DP WORLD ni kwa manufaa mema ya nchi yetu watake wasitake ni muhimu uwekezaji ufanyike hakuna kuuacha.
Ona ulivyo TAHIRA.


Watu hatupingi uwekezaji.

Tunapinga Mkataba, hao DP W, waje tukae mezani,. Tuje na Win Win business, uwekezaji uendelee.


Pumbavu.
 
Mjinga wee, Mungu aliwatumia Manabii Toka enzi na enzi akiwatuma kuwaonya Wafalme .
 
SIJAONA HOJA MSINGI HAPO.
MPAKA SASA WANASHINDWA KUZUNGUMZA UKWELI WA NINI HASA KINASABABISHA WAUCHUKIE HUO MKATABA,


MWIZI HUWA HANA AMANI MUDA WOTE ANAHISI KUIBIWA KWAKUA YEYE NI MWIZI,


KANISA LIMEINGIA MIKATABA MINGI SANA YA HOVYO NA SERIKALI (MOU)
YAKUWAKANDAMIZA WANANCHI KUANZIA KWENYE MAHOSPITALI N.K


LEO WAMEONA MKATABA WA BANDARI HAWAENDI KUNUFAIKA NAO ZAIDI YA KUNUFAISHA NCHI NDIO WANASHUPAZA SHINGO.
 
Wewe unahisi, Mkataba Huu, watanzania wanautaka??


Kama Wana CCM wenyewe, hawautaki, vipi kuhusu Watanzania??.
Mtanzania gani mwenye elimu yenye mashiko na asie mfia dini au mpenda wazungu ameukataa huu mkataba?
Usilete habari ya kina lissu na Huyo muhaini SLAAA au wale vibaraka wa wazungu ndani ya CCM.
KABLA Hujapinga kitu tumia muda kidogo kuisoma Profile ya hio Kampuni inayotaka kuwekeza hapa.

Hao ni Multi billion dollars company. Imewekeza kwenye bandari zaidi ya 40 na inafanya kazi hizo za bandari kwa miaka mingi kulikounavyofikiri wewe.

Jiulize. Je! Kampuni au nchi yenye sifa mbaya ya kukandamiza watu inawezaje KUKUBALIWA NA NCHI ZAIDI YA 40 DUNIANI KUWEKEZA KWAO?
 
Sawa na Prof Shivji 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…