Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mjinga weeAngekuwa ni hayati rais JPM wasingeinua pua zao kujaribu kuongelea hili suala. Waliheshimiwa sana na wanasheria wa serikali kwa kupewa ufafanuzi mrefu tu wa shughuli nzima za bandari zitakavyokuwa.
Labda wameogopa sura za kina Shivji na jaji Warioba na kuamua kusimama nao lakini nchi hii inahitaji uwekezaji pale bandarini wa kampuni kubwa kama DPW hivi sasa kuliko wakati wowote ule.
Huwezi kujenga reli ya SGR kwa matrilioni ya pesa halafu uwe na ufanisi ule ule wa kizamani.
SASA WANGEONGEA NINI, WAKATI JPM HATA HUO MKATABA USINGELETWA MEZANI KWAKE.
WANGEONGEA NN??.
PUNGUZA UPUNGUANI