Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Angekuwa ni hayati rais JPM wasingeinua pua zao kujaribu kuongelea hili suala. Waliheshimiwa sana na wanasheria wa serikali kwa kupewa ufafanuzi mrefu tu wa shughuli nzima za bandari zitakavyokuwa.

Labda wameogopa sura za kina Shivji na jaji Warioba na kuamua kusimama nao lakini nchi hii inahitaji uwekezaji pale bandarini wa kampuni kubwa kama DPW hivi sasa kuliko wakati wowote ule.

Huwezi kujenga reli ya SGR kwa matrilioni ya pesa halafu uwe na ufanisi ule ule wa kizamani.
Mjinga wee


SASA WANGEONGEA NINI, WAKATI JPM HATA HUO MKATABA USINGELETWA MEZANI KWAKE.

WANGEONGEA NN??.


PUNGUZA UPUNGUANI
 
Punguza umbea
Huu sio umbea ni kutaka habari kama jet ilizuiliwa huo sio umbea tunataka kujua nani anadhulumu mali zetu. Mshangao Dubai ni tajiri kweli kijindege chetu kimechoka kutaka kukamata sio style ya Makthoom kwa hiyo hao watakuwa matapeli wa bongos waliomdanganya raisi
 
Huu ugali wa Viongozi (BANDARI) Yeyote atakayejaribu kuusogelea lazima akumbane na mkono wa chuma ikiwemo kesi ya Uhaini na Mapinduzi ya Mdomo. Mods mpo hapa embu rekebisheni apo ni Baraza.
20230818_175158.jpg
 
Kwa wale wanaopata shida kuelewa kifupi cha baadhi ya maneno kwa utambulisho wa maaskofu kirefu cha ufupisho huo ni Kama ifuatavyo:

1. O.F.M Cap (Order of Friars Minor Capuchin) - Shirika la Ndugu wadogo Wafransisko Wakapuchini.

2. ALCP/OSS (Apostolic Life Community of Priests in opus Spiritus Sancti) - Shirika la Kitume la kazi ya Roho Mtakatifu.

3. CSSp (Congregatio Sancti Spiritus) - Shirika la Roho Mtakatifu

4. OSA (Order of Saint Augustine) -Shirika la Mtakatifu Augustino.
Mbona kama hili tamko la maaskofu limekulevyaa.
 
Kinachonifuraisha kuhusu huu mkataba ni kwamba unatugawa wakristo na waislamu, wabara na waunguja, Chadema na CCM, waliosoma na wasiosoma, wapiga dili na wasiopiga dili, wanufaika na walalahoi, wabunge na wananchi, serikali na wananchi.
Vingozi wa dini na viongozi wa serikali, wanasheria wasomi na wanasheria vilaza listi ni ndefu na ikufikie kwenye kiti chekundu.
 
Sasa wao wakiukataa sisi inatuhusu nini? Wao ndo Wanaongoza nchi? Wao ndo nchi?

Hawa viongozi wa dini kuna mahali walidekezwa sana hadi wao kujiona kuwa ni sehemu ya uongozi wa hii nchi. Ni upuuzi uliotukuka.

Kwa hiyo na wao wakitaka kujenga kanisa Serikali ianze kusema inapinga wao kujenga makanisa?

Ndo maana hujawa kiongozi wa dini, kama ambavyo hawajaingilia maoni yako kama muhuni, na wewe usiingilie yao kama viongozi wa dini.
 
SSH ushauri umeusikia lakini sio lazima kuufata.

👉Uwekezaji wa DP WORLD ni kwa manufaa mema ya nchi yetu watake wasitake ni muhimu uwekezaji ufanyike hakuna kuuacha.
Ona ulivyo TAHIRA.


Watu hatupingi uwekezaji.

Tunapinga Mkataba, hao DP W, waje tukae mezani,. Tuje na Win Win business, uwekezaji uendelee.


Pumbavu.
 
Hivi hawa wanajiita maaskofu nani kawadanganya kuwa kwenye katiba ya nchi hii wana uwezo kutoa maamuzi ktk mikataba ya serikali?
Shida kubwa inatokana na akili ndogo. Wao wameshazoea kuona kondoo wote wanawapigia magoti na kuwaomba msamaha ili wawasamehe dhambi sasa wanadhani huo uongo wao wa kujipa cheo cha kusamehe madhambi utaifanya serikali na wananchi waone na wao wa maana.

Mi nasema tafadhali sana .
Maaskofu nyie kaeni huko huko mkidanganya kondoo na kula hela zao. Serikali iacheni ifanye kazi yake.
Haitoshi kula hela za bure kila siku sasa mnataka kujiingiza kwenye kazi zidizo wahusu?
Msituharibie nchi tafadhali sana
Mjinga wee, Mungu aliwatumia Manabii Toka enzi na enzi akiwatuma kuwaonya Wafalme .
 
SIJAONA HOJA MSINGI HAPO.
MPAKA SASA WANASHINDWA KUZUNGUMZA UKWELI WA NINI HASA KINASABABISHA WAUCHUKIE HUO MKATABA,


MWIZI HUWA HANA AMANI MUDA WOTE ANAHISI KUIBIWA KWAKUA YEYE NI MWIZI,


KANISA LIMEINGIA MIKATABA MINGI SANA YA HOVYO NA SERIKALI (MOU)
YAKUWAKANDAMIZA WANANCHI KUANZIA KWENYE MAHOSPITALI N.K


LEO WAMEONA MKATABA WA BANDARI HAWAENDI KUNUFAIKA NAO ZAIDI YA KUNUFAISHA NCHI NDIO WANASHUPAZA SHINGO.
 
Wewe unahisi, Mkataba Huu, watanzania wanautaka??


Kama Wana CCM wenyewe, hawautaki, vipi kuhusu Watanzania??.
Mtanzania gani mwenye elimu yenye mashiko na asie mfia dini au mpenda wazungu ameukataa huu mkataba?
Usilete habari ya kina lissu na Huyo muhaini SLAAA au wale vibaraka wa wazungu ndani ya CCM.
KABLA Hujapinga kitu tumia muda kidogo kuisoma Profile ya hio Kampuni inayotaka kuwekeza hapa.

Hao ni Multi billion dollars company. Imewekeza kwenye bandari zaidi ya 40 na inafanya kazi hizo za bandari kwa miaka mingi kulikounavyofikiri wewe.

Jiulize. Je! Kampuni au nchi yenye sifa mbaya ya kukandamiza watu inawezaje KUKUBALIWA NA NCHI ZAIDI YA 40 DUNIANI KUWEKEZA KWAO?
 
Hao jamaa mkuu wasikupe tabu huo mkataba walipitisha azimio la kidini na meseji walisambaza wapinge kwa mlengo wa dini .

Hao maaskofu wanapinga kwa mlengo wa kuwaogopa waarabu .


Pr. Tibaijuka ,kuzunguka kwake kote kule ni maelekezo ya kanisa apinge ndo maana kila siku anakuja na loopholes mpya ili kuonyesha weakness kwenye mktaba ila moyoni kajaa maelekezo ya kanisa.

Hao wakina Mwabukusi na wengine wote hata waliotoka CHADEMA wanaungana na wakristo wengine kupinga kwa mlengo wa dini ,hawana cha maana ni order ya ujumbe walisambaza makanisa yote wapinge wakiwatumia watu wenye nyadhifa za juu waliokuwa wakristo .
Sawa na Prof Shivji 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom