Mimi mkatoliki. Nakubaliana na Waraka.
 
Wewe upo wapi,angalia conclusion yao,wamependekeza mkataba ufutwe eti bandari ziendeshwe na wazawa
 
........wabongo tulio wengi nadhani tuna shida kidogo, hili ulilosema limerudiwa zaidi ya mara mia lakini sijui kwa nini watu hatuelewi.......
Siyo kwamba hawaelelwi, wanaelewa Sana Ila ni kakikundi kanakofaidika na ufisadi Serikalini kanadhani Watanzania wengine ni wajinga wao Tu ndo Wana akili.
 
Sio Mbinga tu, hadi kule Nyasa Lituhi ndani huko [emoji23][emoji119]

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Njoo na hoja kama waliokuja nayo TEC , ukiona jambo hili limeonekana kwa TEC pekee basi tambua wao ndo vinala wa yaliyo mema ktk taifa hili, otherwise mihemko na wivu ndo remote inayokuendesha ndugu mwandishi

Hata hizo taasisi zingine kama wanao uwezo wa kulisemea jambo kwa hoja hakuna alie wazuia lakin kuamua kwao kukaa kimya manaake nao ni miongoni mwa ma stupids kwa taifa letu
 
Kwenye uchaguzi 2020 TEC haikuwepo kusikiliza maoni ya wananchi,serikali Ulipo lazimisha utawala wa Chama kimoja....huu ndio unafiki sasa.
 
Uchaguzi 2020 TEC walikuwa wapi kutoa waraka baada ya serikali kulazimisha CCM itawale majimbo karibu yote?
 
Ni kweli madhehebu almost Yote yana exemptions, lakini wenzetu kuna na mengine nyuma ya pazia elewa hili,watu siyo wajinga kivile!
 
To be truly kifungu kama hiki ni cha kukitoa kabisa aidha,nchi ina kuwa imeolewa sasa¡ 😁😁😁!
YAPO YA KU EDIT KABLA YA KUSONGA MBELE ZAIDI,UNTO DEEP!
 
Umetudharau watu wa mbinga, ungeanza na kwetu ukamaliza na Nansio, ukerewe
 
Inaonekana hujiamini, kudhani kwamba umesemewa jambo flani na mtu bila ushahidi it's just stupid nonsense!.
 
Nenda kajifunze Unyama wa Nyerere akishirikiana na KANISA kwa lengo la kudhulumu Haki za waislamu Nchini.
Ukikosa njoo inbox nikupe Data. Kama wewe ni mpenda haki na mpenda kujua ukweli
Iko siku utanishikuru .
Huu ni uchizi tu unaokusumbua siku zote.
hata huyo unayemjibu na kumueleza haya atakuwa anakuona kuwa kichwani unao upungufu mkubwa sana; halafu eti unahoji elimu aliyo nayo?
Hii ndiyo elimu unayotaka aijue?
 
Ndio maana bado inaitwa Negotiations.
Bado watu wanajadili na hakuna kilicho sainiwa mara ghafla MAPADRI wanakusanyana pamoja na kutoa hitimisho kuwa MKATABA HAUFAI.


Mkataba upi ULIO SAINIWA ambao umesha pitishwa na serikali USIOFAA?
Huo wa IGA ni kitu gani; ambao umelazimu hadi kwenda Bungeni?
Haya yote yamejadiliwa humu muda kitambo; wewe ulikuwa wapi kama hukuyaona?

IGA mbovu itazaa vipi hivyo vimikataba ambavyo vitakuwa bora?

Kama hamuitambui IGA iondoeni; hivyo vimikataba vijisimamie vyeyewe.
 
Huo ndio ukweli mchungu je usisemwe? Waoga hukimbia bila kukimbizwa?
Kwamba Kuna mizizi kuanzia ngazi ya familia wewe umetushika na kuogopa Nini? Kwamba watu wataujua ukweli kuanzia ngazi ya familia?
Wapi Rais ametajwa kwenye Waraka uliotolewa akidunishwa?
Kesho akizingatia ushauri mtakenua meno kwamba ni msikivu!
Mkataba ni mbovu ila haifanyi taasisi ya Urais ivunjiwe heshima.

Sasa wanapodai wana mizizi kila kaya wanamtishia nani sasa?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
M
 
Hili Lina uhusiano na mada iliyoko mezani!
Hata Yesu aliwajibu! Wenye afya hawahitaji tabibu Bali wagonjwa! Kuna maana Gani ya kuhubiri habari njema kama hutawaisaidia waliopotea na kuwarudisha katika njia iwapasayo Kwa Mungu waiache dhambi yao ya LGTB! Mnabadilisha maana Kwa cheap mileage! Tukutane Dominika ya Leo tupate ujumbe wa mama kanisa.
Misaada mliyopewa kama kushika uchumba na dipii weld itawatokea puani soon!
 
Mkumbushe kwamba Karamagi ni CCM Kindaki ndaki na Hajapinga ubinafsishaji wa Bandari na hivyo lao ni Moja na hakuna namna atawexa kuihusisha TiCts na kanisa!
Na kanisa imebainisha wazi wazi maeneo yenye shida na kuyatolea ushauri kama ilivyokua ilifanya huko nyuma. Ila kwakua wana akili kisoda watapuuza na wataendelea kulitia taifa hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…