Ndio raha ya kuwa na fikra huru sisikilizi Kanisa wa Msikiti nahoji kila jamboTulia basi sio kila muda unaweka content ile ile unatuchosha
Sawa endelea Ila sio unarudiarudia Jambo Mara 200Ndio raha ya kuwa na fikra huru sisikilizi Kanisa wa Msikiti nahoji kila jambo
Mweke Mwarabu kwenye hiyo picha halafu ujionee kutavyopingwa, atakuja mpaka kitime na pengo kupinga.
Wai wenyewe wanatumia magazeti sihitaji nataka hoja yangu ijibiweUtataka hadi ukinya uchambishwe na Wakatoliki.
Waarabu ndio mamaster kwenye eneo hilo labda hujui lolote kuhusu uwindaji.
Ni jambo la busara kama ungenijibu hoja yangu.Sawa endelea Ila sio unarudiarudia Jambo Mara 200
Huna hoja, una viroja.Wai wenyewe wanatumia magazeti sihitaji nataka hoja yangu ijibiwe
Muafrika amekuwa Mtumwa wakifikra eidha za Wazungu au za WaarabuMweke Mwarabu kwenye hiyo picha halafu ujionee kutavyopingwa, atakuja mpaka kitime na pengo kupinga.
wewe hujasoma waraka Wala kuisikiliza, Kwa sababu umezungumzia mpaka wamasai wanavyoondolewa Loliondo Ili kupisha wawekezaji. Kasome kwanza halafu utoe hoja.
Nadhani mchezo huu hauhitaji hasiraHuna hoja, una viroja.
Mjinga sana wewe ๐๐ฎNi jambo la busara kama ungenijibu hoja yangu.
Wewe ni ๐๐ฉNadhani mchezo huu hauhitaji hasira
Kwenye hiyo picha kuna Mwarabu wa Loliondo hapo? hiyo ni Rungwewewe hujasoma waraka Wala kuisikiliza, Kwa sababu umezungumzia mpaka wamasai wanavyoondolewa Loliondo Ili kupisha wawekezaji. Kasome kwanza halafu utoe hoja.
Tunajiweka wenyewe kwenye utumwa. Kama hujitumi ni lazima uwe mtumwa.Muafrika amekuwa Mtumwa wakifikra eidha za Wazungu au za Waarabu
Kila mmoja kayabeba tumboni.Wewe ni ๐๐ฉ
Unabeba Mipicha ya SA kutoka Google unakuja kujitapa hapa jinga kabisa wewe ๐๐ฉMuafrika amekuwa Mtumwa wakifikra eidha za Wazungu au za Waarabu
Bandari zetu zinalindwa na Mungu mwenyewe, bedui hapati kituNi uongo kwamba TEC walikosa njia zote za kuufikisha ujumbe wao kwa serikali bila kuleta mgawanyiko katika taifa.
Suala la udini na ukanda tuwaachie CHADEMA, wao ndio wameharibu huu mjadala tangu mwanzoni kwa kuleta udini na ukanda,
Ni ajabu mbali na usomi wanaonasibishwa nao, hawa TEC wameshindwa kujua hadhira na hali ya kisiasa hapa nchini.
Hili suala lilishachukua mlengo wa wazanzibar na wabara, na pia mlengo wa kidini. Walipaswa kujua kulileta suala hili madhabahuni ni kuleta udini.
Ieleweke tu kukaa darasani sana sio kuelimika,
Mwisho ileweke kua TEC ni Wakatoliki haiwakilishi Wakristo wote
Wewe ni jinga nilishakuonya hukutaka kusikiaKila mmoja kayabeba tumboni.