sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Ni uongo kwamba TEC walikosa njia zote za kuufikisha ujumbe wao kwa serikali bila kuleta mgawanyiko katika taifa.
Suala la udini na ukanda tuwaachie CHADEMA, wao ndio wameharibu huu mjadala tangu mwanzoni kwa kuleta udini na ukanda,
Ni ajabu mbali na usomi wanaonasibishwa nao, hawa TEC wameshindwa kujua hadhira na hali ya kisiasa hapa nchini.
Hili suala lilishachukua mlengo wa wazanzibar na wabara, na pia mlengo wa kidini. Walipaswa kujua kulileta suala hili madhabahuni ni kuleta udini.
Ieleweke tu kukaa darasani sana sio kuelimika,
Mwisho ileweke kua TEC ni Wakatoliki haiwakilishi Wakristo wote