Nani kasema wananchi hawautaki. Kwa pacent ngapi? Na huo utafiti umefanyika lini na wapi? Hii nchi ni ya Watanzania siyo ya wakatoliki. Kuna madhehebu mengi pamoja na waislamu. Inakkuwaje TEC wasemee wananchiwote hawautaki nani kawapa kibali cha kuwasemea wasio wakatoliki. Hata Mwenyeezi Mungu amesema kwenye biblia tii wenye mamlaka. Tafadhalini TEC fanyeni yanayowahusu. Wakati wa serikali ya awamu ya tano hatukuona nyaraka hizi pamoja na mambo mabaya yaliyotendeka.
 
Ni wapi wamesema wananchi wote
 
Habari zenu wanaJF wenzangu?

Kuna watu wameanza kujipa matumaini hewa kwamba raisi Samia anaweza kuachana na mkataba, baada ya baraza la maaskofu TEC kumtumia waraka wa kumtaka raisi aachane na mkataba huo.

Watu hao ni wale ambao walikuwa na masilahi yao pale bandarini aidha kwa kupitisha mizigo/biashara zao bila kulipa ushuru na kodi, au wale waliokuwa wanatumia bandari kama uchochoro wa kupitishia madawa yao ya kulevya.

Walianza kwa kuwatumia wanasiasa uchwara na mawakili njaa, walipoona hao wameshindwa na wengine kuangukia katika kesi za uhaini, ndo wakapima kutupa karata yao upande wa dini ili kuona kama watafanikiwa kulamba dume. Kumbe maskini hawaijui vizuri misimamo ya raisi Samia anapoamua kufanya jambo ambalo anaona lina manufaa kwa taifa, huwa habadili tena gia angani.


Sasa ndugu zangu ukweli ni kwamba maaskofu hao hawana watachobadili katika maamuzi yake, kwani historia inaonesha toka raisi Samia aongoze wizara mbali mbali, aongoze bunge la katiba kama makamu mwenyekiti, makamu wa raisi na sasa raisi wa JMT hajawahi kubadili misimamo yake moja kwa moja.

Sana sana atafanya mambo fulani kupunguza tu mivutano ya kidini, lkn sio kuuvunja kabisa mkataba.

Trust me 🤞
 
Reactions: ITR
Habari zenu wanaJF wenzangu?

Kuna watu wameanza kujipa matumaini hewa kwamba raisi Samia anaweza kuachana na mkataba wa uwekezaji baada ya baraza la maaskofu TEC kumtumia waraka wa kumtaka raisi aachane na mkataba huo.
Ndo tunasikilizia hapa mkuu
 
Magufuli aliwahi kusema ni kichaa peke yake ndiye anayeweza kusaini mikataba mibovu ya aina hii. Sasa Mimi Nasubiri kuona Kichaa atakayesaini kuruhusu DP WORLD Kuendesha Bandari za Tanzania.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu?

Kuna watu wameanza kujipa matumaini hewa kwamba raisi Samia anaweza kuachana na mkataba wa uwekezaji baada ya baraza la maaskofu TEC kumtumia waraka wa kumtaka raisi aachane na mkataba huo.
Huyo Samia ndiye anayemiliki nchi hii basi; ni mali yake au siyo?

Hata ingekuwa mali yake, kwani hawezi kunyang'anywa kwa nguvu?
 
Hao sio masheikh ubwabwa hao, hawaja jaza kiarabu kichwani hao usisahau hilo.
Toa ufara wako wa kusifia wanaume wenzako!

ww unajuaje elimu yao na wakati huna elimu yao?

Kila mmoja ana elimu aliyoisomea

Usidhani ujuha wako ndio wa watu wote

Kama elimu haina mwisho unawasifiaje mpaka mwisho?
 
Ninaitetea Nchi yangu
Nimeanza kuwa na mashaka tena kuhusu uraia wako hapa.

Mwanzo kabisa nilipoanza kukusoma niliweka mashaka,; baadae nikadhani nilikosea, sasa unadhihirisha tena dhana yangu hiyo ya mwanzo ilikuwa sahihi.

Hata kama wewe ni raia wa hapa, ni wale wa kuokota tu, toka nchi jirani.
 
..Rais Samia angekuwa na busara asingeshupaza shingo muda wote.

..Zaidi, asingesaini mkataba wa hovyo na kinyonyaji na Dp world.
Huyu ni mateka wa genge maalum.
Yeye kama yeye, hana ubavu wa kukaza shingo namna ile.

Hata hivyo, kishaingizwa kwenye tope, hawezi kujinasua tena akiwa salama.
 
Hawa Maaskofu wana muongelea Mungu yupi ?
 
الم, غلبت الروم, في ادنى الارض وهم من بعد غلبهم سيغلبون
 
Angesema hapa kakobe ungesikia oooh hajalipa kodi,ooh usajili wake una matatizo,ooh kiwanja alipo hakina hati,haya mwamba huyu hapa,wapi nape kuzuia waraka
 
Unamsikiliza shivji aliyependekeza nchi ianzishe mabaraza ya ardhi ambayo yamegeuka kero nchi nzima kwa rushwa na kukuza migogoro?

Sasa hapo kosa la Prof Shivji ni nini? Ni sawa leo uanze kuwalaumu wananchi kwa kuwapigia kura viongozi ambao sasa wamekuwa wala rushwa na wasiozingatia utawala bora.
 
Hapa sasa ndio tutajua, .
Serikali na baraza la maaskofu wa Roman Catholic nani mkubwa, maana kwa mujibu wa wadau hapa inavyoonekana baraza la maaskofu ndio linaloendesha nchi ya wadanganyika.
Vipi BAKWATA nao watatoa waraka wao?
Pia madhehebu mengine ya dini wakitoa nyaraka zao itakuwaje?
Ipi nafasi ya wasio na dini nao katika nyaraka?
Vipi kama nyaraka zitatofautiana serikali itafanya nini?
Kama vipi tuchapane tu, ili kila mtu arejee kijijini kwao, nadhani baada ya mnyukano tutaheshimiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…