Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Sisi HATUTAKI limkatabaa la kishenzi, hatulitakiiiiiiTanzania ni Secular Democracy hawa viongozi wa Dini wasilivuruge Taifa
Ndio Maana Wazungu wanazidi kuwa ma Atheist
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi HATUTAKI limkatabaa la kishenzi, hatulitakiiiiiiTanzania ni Secular Democracy hawa viongozi wa Dini wasilivuruge Taifa
Ndio Maana Wazungu wanazidi kuwa ma Atheist
Hafi raha nacho ni kiswahili cha wapi?Ukisoma maelezo ya Baraza Kuu la Maaskofu Tanzania hadi raha, Kiswahili kizuri na chenye mpangilio unasoma mstari kwa mstari aya kwa aya kila kitu kimepangiliwa na kunyooka …
Mkuu kabla ya kutaka kupora Bandari ulishasikia mtu anawataja DPW?Kwa Watanzania wengi wazalendo na wapenda maendeleo na haki hatuna shida kabisa na waarabu wala wazungu.
Lkn WAKRISTO wachache wakiongozwa na MAASKOFU na Viongozi wa makanisa wanachuki na waarabu sababu ya UISLAMU TU.
Hakuna kingine.
Wanasahau kuwa kuna waarabu milion kadhaa ambao ni WAKRISTO tena wa kuzaliwa huko huko ukristo ulikoanzia.
Hapo ndio ujue hao wenye chuki na waarabu wote HAWANA ELIMU WALA BUSARA
Upuuzi mtupu.Wewe nini wewe jiandae kuificha sura yako utachekea kwenye shimo la choo mnataka mtuongize kwenye mikataba MIBOVU ikibuma mnataka tulipe sisi alafu mlivyo mazuzu mnaleta habari za udini wakati kinachongelewa sio issue ya dini
UhainiiiiiUpuuzi mtupu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi wakilambishwa asali wakakaa kimya na baraza lisipofutwa tukufanye nini...???
We mtoto unadhani waislamu wanaweza kupandikishiwa vitu ovyo km wagalatia?Tangu mwanzo mliambiwa kujibu hoja za Mkataba mkapandikiza Udini na Bigshow na Akina Faiza Fox.
Haya sasa ngome hiyo ichezeni sasa tuone.😆😆
Wewe jamaa ni mpuuz kweli yani. Zero brains 🧠Sasa wao wakiukataa sisi inatuhusu nini? Wao ndo Wanaongoza nchi? Wao ndo nchi?
Hawa viongozi wa dini kuna mahali walidekezwa sana hadi wao kujiona kuwa ni sehemu ya uongozi wa hii nchi. Ni upuuzi uliotukuka.
Kwa hiyo na wao wakitaka kujenga kanisa Serikali ianze kusema inapinga wao kujenga makanisa?
Upuuzi mtupu.Uhainiiiii
Na wewe pia ni Mbumbumbu akili sifuri kichwani kumejaa upepo tu huna akiliUpuuzi mtupu.
ccmu hawashndwiTEC kufunguliwa kesi ya uhaini?
Mimi nikiwa zero brain wewe ni negative kabisaWewe jamaa ni mpuuz kweli yani. Zero brains 🧠
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kesi ya uhaini inawahusu[emoji38]
Wafungulieni kesi za uhaini hawa. Askofu Titus Mdoe - Askofu wa Mtwara
24. Askofu Eusebius Nzigilwa - Askofu wa Mpanda
25. Askofu Bernadin Mfumbusa - Askofu wa Kondoa
26. Askofu Prosper Lyimo - Askofu msaidizi wa Arusha
27. Askofu Edward Mapunda - Askofu wa Singida
28. Askofu Beatus Urassa ALCP/OSS - Askofu wa Sumbawanga
29. Askofu Anthony Lagwen - Askofu wa Mbulu
30. Askofu Filbert Mhasi - Askofu wa Tunduru Masasi
31. Askofu Lazarus Msimbe SDS - Askofu wa Morogoro
32. Askofu Simon Masondole - Askofu wa Bunda
33. Askofu Henry Mchamungu - Askofu msaidizi wa Dar es Salaam
34. Askofu Stefano Musomba OSA - Askofu msaidizi wa Dar es Salaam
35. Askofu Wolfgang Pisa OFMCap
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walivyokua hawana aibu usishangae,hivi wewe ulishawai kula asali ukavimbiwa?!
Hapa siyo ChinaNilikuwa nakuona una akili ila nimegundua kuwa wewe ni mjinga sana? Kwa hiyo unataka kusema kuwa Tanzania inaongozwa na Roma?
China nako Roma wakisema wamesema?
hamjifich walamba athari [emoji23][emoji23]Usije kua umepatwa kiharusi