Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Ukisoma maelezo ya Baraza Kuu la Maaskofu Tanzania hadi raha, Kiswahili kizuri na chenye mpangilio unasoma mstari kwa mstari aya kwa aya kila kitu kimepangiliwa na kunyooka …
Hafi raha nacho ni kiswahili cha wapi?
 
Kwa Watanzania wengi wazalendo na wapenda maendeleo na haki hatuna shida kabisa na waarabu wala wazungu.
Lkn WAKRISTO wachache wakiongozwa na MAASKOFU na Viongozi wa makanisa wanachuki na waarabu sababu ya UISLAMU TU.
Hakuna kingine.

Wanasahau kuwa kuna waarabu milion kadhaa ambao ni WAKRISTO tena wa kuzaliwa huko huko ukristo ulikoanzia.

Hapo ndio ujue hao wenye chuki na waarabu wote HAWANA ELIMU WALA BUSARA
Mkuu kabla ya kutaka kupora Bandari ulishasikia mtu anawataja DPW?

Msijifiche kwenyw hoja dhaifu haitawasaidia nyie vibaraka.

Ukoloni ni mbaya sana

Mwarabu aliwafanya kuwa watumwa lakini hadi leo mnamwabudu
 
Wewe nini wewe jiandae kuificha sura yako utachekea kwenye shimo la choo mnataka mtuongize kwenye mikataba MIBOVU ikibuma mnataka tulipe sisi alafu mlivyo mazuzu mnaleta habari za udini wakati kinachongelewa sio issue ya dini
Upuuzi mtupu.
 
Tangu mwanzo mliambiwa kujibu hoja za Mkataba mkapandikiza Udini na Bigshow na Akina Faiza Fox.

Haya sasa ngome hiyo ichezeni sasa tuone.😆😆
We mtoto unadhani waislamu wanaweza kupandikishiwa vitu ovyo km wagalatia?
We nambie hapa. Hao MAASKOFU kipi wanachopinga km sio kuogopa WAARABU?
Weka kipande cha mkataba huo hapa ambacho hao wagalatia wanadai ni kibovu.

Hakuna hata mmoja ktk hao wanaopinga kaweza kuonyesha hapa.
Sasa kaa kimya tuwatie bakora za madras hawa waefeso wasio na busara
 
Sasa wao wakiukataa sisi inatuhusu nini? Wao ndo Wanaongoza nchi? Wao ndo nchi?

Hawa viongozi wa dini kuna mahali walidekezwa sana hadi wao kujiona kuwa ni sehemu ya uongozi wa hii nchi. Ni upuuzi uliotukuka.

Kwa hiyo na wao wakitaka kujenga kanisa Serikali ianze kusema inapinga wao kujenga makanisa?
Wewe jamaa ni mpuuz kweli yani. Zero brains 🧠
 
. Askofu Titus Mdoe - Askofu wa Mtwara
24. Askofu Eusebius Nzigilwa - Askofu wa Mpanda
25. Askofu Bernadin Mfumbusa - Askofu wa Kondoa
26. Askofu Prosper Lyimo - Askofu msaidizi wa Arusha
27. Askofu Edward Mapunda - Askofu wa Singida
28. Askofu Beatus Urassa ALCP/OSS - Askofu wa Sumbawanga
29. Askofu Anthony Lagwen - Askofu wa Mbulu
30. Askofu Filbert Mhasi - Askofu wa Tunduru Masasi
31. Askofu Lazarus Msimbe SDS - Askofu wa Morogoro
32. Askofu Simon Masondole - Askofu wa Bunda
33. Askofu Henry Mchamungu - Askofu msaidizi wa Dar es Salaam
34. Askofu Stefano Musomba OSA - Askofu msaidizi wa Dar es Salaam
35. Askofu Wolfgang Pisa OFMCap
Wafungulieni kesi za uhaini hawa
 
Hakika kwa tamko lile Mama anayo machaguo Matatu tu:

1. Aachane na DP World

2. Afanye marekebisho ya mkataba kwa kuurudisha Bungeni

3. Ashupaze shingo.
 
Back
Top Bottom