Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
truth hurts.limekukaba hilo limeze hivyo hivyo.mwanaume atafute hela akuhudumie then umpangie matumizi ya hela yake umpangie na umbane asiwe na mchepuko.hakuna mwanamme ambaye hapendi kuwa na wanawake wengiWe nae limbukeni tu, itakuwa kwenye ukoo wako wewe ndio wa kwanza kuhudumia mwanamke...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tu na umalaya wako usihukumu kila mwanaume yuko hivyotruth hurts.limekukaba hilo limeze hivyo hivyo.mwanaume atafute hela akuhudumie then umpangie matumizi ya hela yake umpangie na umbane asiwe na mchepuko.hakuna mwanamme ambaye hapendi kuwa na wanawake wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
akampeleke mtoto kwa baba ake.hapo inakuwa kama watu wawili mmemuoaMwingine akanambia, nataka nimpeleke mtoto likizo hii akamsalimie babake. Nikajua hapo tayari na kupashana viporo. Single mazaz jamani mtatuua.
Mie nilikuwa nikimpigia simu akimpa mtoto simu anamwambia msalimie mjomba! Nikaona kama Mimi naitwa uncle kuna anaeitwa baba! Nikajikata ingawa haikuwa rahisi Sana kuvunja mahusiano
Sass unataka uitwe baba na baba ake mzazi akipiga cm atamwita nani?
Si kumchanganya mtoto tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hawa viumbe acha tu
Huyo ni muhuni kabisanilisema anizalie na mie mtoto akasema hataki zaa kachumbari/ kuchanganya baba atazaa na mwanaune mmoja wakati mtoto mwenyewe mmoja natunza mie nikasema kafie mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni matatizo matupu ndio maana ni afadhali kutokuoa single madheri!akampeleke mtoto kwa baba ake.hapo inakuwa kama watu wawili mmemuoa
Sent using Jamii Forums mobile app
ushampiga chini?Ni matatizo matupu ndio maana ni afadhali kutokuoa single madheri!
Namlia timing, ngoja anifanye fala. Kumchinja kobe timing
nimeona una English moja imenyoka sanaDuke Tachez,
mzee umeshawahi kuishi U.S.A?
Hapana, sijawahi kuishi nchini Marekani. Sehemu kubwa ya maisha yangu zaidi ya miaka 25 (I'm 29 nw) nimeishi hapa hapa nchini Tanzania mikoa ya Arusha, Mbeya na Dar es Salaam.
Kwa nini umeuliza hilo swali?
then unakuta hapo na wewe ndo unamuhudumia mtoto na kulipa adaNamlia timing, ngoja anifanye fala. Kumchinja kobe timing
Yah huwa anatuma na najuaBaba wa mwanae je? Anatuma chochote? Najua atakuwa anatuma ila mama yake hawezi kukuambia... Cha msingi ni hivi mkuu uwe unatuma kimya kimya kwanini umjulishe kwanza
Utakuta upo nae...pengine dogo akazingua kidogo halafu wewe kama mzazi ukamgombeza dogo kidogo..utasikia kitoto kinali na kwenda kwa kama yake...mamy i want dady...shenzy kabisaaa