Wanawake hawana utu, mwanzo wanajifanya atapenda watoto wako, ukimuoa anabadilika

Siamini hawa viumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaaani kiumbe mwenye mkia mbele anaweza kufanya Jambo na ukabaki unastaajabu tyuuuuuh, sasa km huu upupu ulioutoa uwiiiiiiiiiiih na mtanyooshwaaa San had akili zirudi kwenye medulla obbieeeeeh, nxieeeeeeeew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atamnyoosha Nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yalimkuta mshikaji wangu wa karibu sana;
1. Alitaka kumuadhibu mtoto baada ya kuonyesha utovu wa nidhamu akaambiwa ''aliyemzaa hajawahi kumpiga huyo mtoto wewe unampiga kama nani? ''

2. Alichelewa kurudi nyumbani akaambiwa '' Hata Fred(mzazi mwenzake) alikuwa hachelewi hovyo hovyo''

3. Ikifika weekend kama hawajatoka '' Fred alikuwa ananitoa out kila weekend''

Jamaa alivumilia sana huku akitueleza yanayotokea na sisi kama marafiki tukaona tusimshauri afanye nini maana mahusiano ni yake. Baada ya miezi kadhaa jamaa aliamua kusitisha mahusiano.

Bila sita baadaye dada akarudiana na Fred......ili kulea mtoto.


Note: Fred sio jina halisi.
 
wanasema kuoa single mother ni kununua kiwanja chenye mgogoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio maana mm ka single maza kangu tunacheza ONE TOUCH game (kila mtu anakaa golin kwake).sijawahig uliza habar za x wala Y (mtoto) wake..
 
Nine Cheka kama mazuri vile mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…