Kwa kiingereza alichoandika lazima atakuwa ashawahi ishi mbele...viengereza vya hawa waliosoma sjui ud,ifm tunavijuaKwa jf ilivyo atakuambia ndio
But lazima utakuwa ushaishi mbele...viengereza vya sisi tuliosoma ud,udom tunavijuaDuke Tachez,
mzee umeshawahi kuishi U.S.A?
Hapana, sijawahi kuishi nchini Marekani. Sehemu kubwa ya maisha yangu zaidi ya miaka 25 (I'm 29 nw) nimeishi hapa hapa nchini Tanzania mikoa ya Arusha, Mbeya na Dar es Salaam.
Kwa nini umeuliza hilo swali?
Pole sna ndugu yngu ila lazima ujue shule zimefungwa kipindi...Yote hayo ya nini ndugu yangu? Sababu single mother ni dubwana dudu la ajabu rti halipaswi kuolewa?
Wewe oa ambao unawahitaji na wanaooa single mother waache usitake kujua kwa nini wamewaoa.
Kutaka kujua ya nyumba ya pili ni umbea rafiki utagombana na majirani.
Siku hizi wanawake ambao hawajazaa wamekuwa wanachagua sana wanaume wanaotaka kutoka nao yani vigezo vingi hali ambayo ni tofauti na hawa ambao tayari wameshazalia nyumbani
Ni rahisi ku bargain kwenye kitu used tofauti na kitu kipya mkuu. If you know you must understand.Kwahyo watu wanaoa single mother kwa kufuata urahisi zaidi kwa walioshuka thamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wake za watu watamu alafu sio wasumbufu yaani wee unagegeda wala utaletewa presha za kijinga za oh jamani mbona mzabzab una nigegeda tuu utanioa liniSingle mother hamtaki ila wake za wenzenu watamu. Jinga wewe!