Ukome
 
OK boss, nakushauri usimfatilie sana kama ananawiri au anachakaa.
 
La! La! La! La!

Ila wakiwa nyuma ya keyboard kwa wingi wao utasikia ndoa kitu gani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na alisha wahi kunitamkia hapendi wanaume weusi alafu wafupi cha ajabu hako kajamaa ni kafupi na keusi sasa sijui itakuaje ...?
 
Huna lolote kinacho kuuma ni kuikosa papuchi
Ni kweli hata kama papuchi ni nyingi mjini ila kila papuchi ina unique mshawasha wake .japo kuwa nina Access nayo but nitaheshimi ndoa yake maana najua yeye kwenye ndoa yake msimamo ni zero so nitamsaidia kwa hilo kulinda labda kama atafanya na wengine
 
Juzi nilialikwa nyumba ya jirani katika mazungumzo yanayohusu masuala ya Kishika uchumba na mahari

Hii nyumba ya jirani yetu kuna binti kama wa miaka 22 hivi ,huyu binti aliacha shule akatoroka kwao akaenda mbali huko kakutana na chemba akamtia mimba baada ya muda akamtimua yule binti.

Binti baada ya kuona maisha yamemshinda akarudi kwao akajifungua mtoto wa kike akamlea kwa Msaada wa mamake baada ya mtoto kuacha kunyonya ,binti akatoroka tena kwao akaenda machimboni

Huku akapata msela mwingine ambaye ameoa ,akamtia mimba huyu binti ,baada ya muda akaachana nae ,binti akarudi tena kwao na mimba akazaa ,akatulia baada ya muda akatoroka tena.

Sasa hivi majuzi akarudi ,na kutoa taarifa kwao kwamba anakuja mtu kujitambulisha.

Ebhana wee siku ya tukio nilimwonea Sana huruma yule jamaa jinsi alivyopigwa hela kubwa ya Kishika uchumba,jamaa akaanza kuwaza ila mpambe wake akajifanya Wana hela akatoa kile kiasi,nikamwona jamaa ni fala Sana yani demu keshazalishwa ,hana elimu yoyote,hana shughuli yoyote halafu unakubali kupigwa hela kubwa hivi ya Kishika uchumba tu.

Baada ya kumaliza hilo ukafika muda wa kujadili mahari ,ebhana eeeh jamaa kalazimishwa alipe milioni 2,jamaa kaomba omba Sana mama wa binti kakomaa lazima atoe M 2 ,hivi single mother watoto wawili unaanzaje kimlipia mahari M2?

Ikabidi jamaa akubali kishingo upande na kuahidi atarudi tena.

Sasa kumbe binti alimpanga mamake na kumwambia huyo jamaa akija mpige hela kubwa manake anaonekana ana hela,kwa maana hii huyu binti yupo kimaslahi zaidi,je akiolewa na akaanza kuonesha mapungufu yake akaachwa atalaumu kwamba wanaume wanamuacha?

Ni uboya kutoa mahari kubwa kwa single mother.
 
Acha kiherehere....kwani hiyo hela umelipishwa wewe???😏😏
 
Jamaa nikati ya watu wale wanaokurupuka kuoa wala hajamchunguza mtu n.k
 
Wahenga walisema "Kilichotumika pwani ukikipeleka bara bado ni kipya".
Na wale wenye mtizamo Wa kisasa kwenye maofisi wanasema ya kwamba; if you need to be hired, you should have a proven experience/ability to perform the required duties & Responsibility's, sincerely speaking it is all about experience.
 
Ahahaaa...

Kama jamaa ana hela kweli...hyo M2 kwake ni kama ni ela ya kuonga tu,shida ipo kwetu sisi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…