Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
Mzee hili niliahidi sitakuja kupasha...nitaheshimu ndoa zao maana sitaki kuja kubeba msalaba wa mtuMkuu usipashe viporo tu acha jamaa aanze ku-enjoy ua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee hili niliahidi sitakuja kupasha...nitaheshimu ndoa zao maana sitaki kuja kubeba msalaba wa mtuMkuu usipashe viporo tu acha jamaa aanze ku-enjoy ua.
UkomeKiukweli nimefarijika sana, kama mnakumbuka kuna uzi nilisha uleta humu wa kutafuta mtu wa kumuoa moja ya Toleo langu la single maza....aider Mungu mkubwa kuna jamaa kajitokeza kaposa tayari na kumvisha pete ya uchumba. Ambacho ndio kilikua kilio changu kuona wale wanawake nilio date nao wale wanao jielewa waolewe kwani nilikua najisikia vibaya kuwaona umri unasonga tu bila kuheshimishwa.
Ila jambo linalo nikera hawa single mom wangu nilijipinda nika wawezesha na wapo vizuri kiuchumi. Ila haka kajamaa naona kama kametelezea ganda la ndizi maana kamepitwa kiuchumi na my single mom , so hichi kitu kinanipa headache.
Ila nimeamua kuvumilia tu ,naamin ipo siku nitazoea na itakua kawaida.
Asante
OK boss, nakushauri usimfatilie sana kama ananawiri au anachakaa.Hahaha sidhani kama kuna kunawili zaidi ya hapa maana nilisha mtengenezea mazingira ya kumiliki biashara zake na yupo vizuri si unajua tena mwanamke akiweza kula,kubadirisha nguo na nywele Kwake maisha ndio yameishia hapo hahahaa labda kajamaa kamchakaze
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na alisha wahi kunitamkia hapendi wanaume weusi alafu wafupi cha ajabu hako kajamaa ni kafupi na keusi sasa sijui itakuaje ...?La! La! La! La!
Ila wakiwa nyuma ya keyboard kwa wingi wao utasikia ndoa kitu gani.
Ni kweli hata kama papuchi ni nyingi mjini ila kila papuchi ina unique mshawasha wake .japo kuwa nina Access nayo but nitaheshimi ndoa yake maana najua yeye kwenye ndoa yake msimamo ni zero so nitamsaidia kwa hilo kulinda labda kama atafanya na wengineHuna lolote kinacho kuuma ni kuikosa papuchi
Sure halafu nimemuangalia bado bwana mdogo sanaaaJamaa nikati ya watu wale wanaokurupuka kuoa wala hajamchunguza mtu n.k
😂😂😂😂Mbona sahihi jamaa kanunua kila mtoto kwa million moja na mama yao kamchukua kwa laki 3
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
😂😂Ndo maana tunazimiwa na internet..😂