Jamaa ni mchimbaji mdogo sasa sijajua uchumi wa wachimbaji wadogo ukoje,ila siku ya tukio jamaa alionekana kupagawa baada ya kuanza kupewa hizo bei,hata kinywaji kikamshinda kunywa