Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Hakuna Cha ajabu Kama jamaa hizo milion milion kwake haziumizi ubongo.
 
Hakuna Cha ajabu Kama jamaa hizo milion milion kwake haziumizi ubongo.
Jamaa ni mchimbaji mdogo sasa sijajua uchumi wa wachimbaji wadogo ukoje,ila siku ya tukio jamaa alionekana kupagawa baada ya kuanza kupewa hizo bei,hata kinywaji kikamshinda kunywa
 
Dogo tafuta fedha usilete utoto, mwanamme anatoa mahari wewe unasema kalazimishwa... uliona wapi 'kishika uchumba' kinajadiliwa!
 
Demu ana job experience ya kutosha mimi naona hiyo 2M ni pesa ndogo sana aongezewe.
 
Back
Top Bottom