Kama hayo yote uliosema ni ya kweli basi huyo jamaa pengine labda ameambiwa kua huyo demu ni bonge la kafara(na mganga).Kwaio hata akitoa hio M2 haina shida.
 
Hivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"

"Kwani nikimpa inaisha?" Hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi naye kama hakujatokea kitu chochote?
 
Mkuu ukiona mwanamke kabadilika ni heri uachane nae kwa amani usitumie kipigo utakuja kuishia jela, unavyonyandua wake za watu mean na wewe unavyochepuka jua wanawake unaowalala nao wana wanaume zao so ndio nature achana nae, kama wewe ni mkamilifu sawa
 
Ushapigwa limbwata ndo maana unashindwa kufanya maamuzi magumu, piga chini utakufa kwa pressure halafu mabaharia kwenye vile vikao vyetu moja ya agenda zetu tuliazimia kuto kuoa ma single mama ikiwa ni sambamba na kutosomesha mchumba..we umeanzaje?
 
Dawa ya mtu kama huyo, ni moja tu anza kurudi usiku na asikuuliize kitu atarudi katika mstari mwenyewe ,lewa gonga pombe kama ni mdau, ukirudi nyumbani uwe chakali but play smart sio lazima ajue ukitoka unakula swala za nje pia sio lazima, yani piga gambe na utakachokutana nacho huko nje shughulikia vilivyo gonga nyapu stress zitahama mwanamke ukimpa attention saba anakupanda kichwani, akiona nawe huna muda nae akili itamkaa, ukirudi home umekua mwepesiiii akikuuliza mwambie you are the reason i ave changed so tuendele tu lifestyle hii, ni lazima ataumiza kichwa na atataka amani maisha ni mafupi sana kwa mpuzi mmoja kuuchezea akili.. Kiume zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…