Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
Kama hayo yote uliosema ni ya kweli basi huyo jamaa pengine labda ameambiwa kua huyo demu ni bonge la kafara(na mganga).Kwaio hata akitoa hio M2 haina shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona hata mkiolewa hamuachi tabia mbovu za kupigwa bolo na ma EX wenu.Haya matatizo ya kukutana na singel mothers yasingekuwepo kama kila mwanaume anae dondosha DNA zake angekua baba bora. Unamzalisha mtoto wa mtu unasema si type yako huwezi kumuoa, unategemea ataolewa na nani?
Mhh hii ni mada nyingine ifungulie siledi yake, tujadiliane jinsi ya kufundisha watoto watunze bikra zao.Sasa mbona hata mkiolewa hamuachi tabia mbovu za kupigwa bolo na ma EX wenu.
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na MasikioniMnaambiwa daily hamsikii
Awahi Mapema SanaMuachane kwa amani kabla ugomvi haujaanza maana mkiendelea we jamaa utaishia jela
Eti kwani ukinipa inaisha na wewe mama kanjanja"Kwani nikimpa inaisha" kakuonaje aisee mpaka akujibu hivyo? [emoji848]
Mwanamke akishachukua mamlaka ya mwanaume akawa ana sauti ndani ya nyumba, basi ana uwezo wa kukuambia au kukutukana tusi lolote, sasa ukimfuga mwanamke wa hivi baadae maumivu utaanza kuyapata mwanaumeHii inaukweli, upole umezidi na ukizid lzm atakunyea kichwani