Na wanawake waaminifu hupata wanaume wahuniUshauri ni kuacha kumfuatilia utaishi kwa amani fanya mambo yako, halafu sijui kwanini wanawake wahuni huwa wanapataga wanaume waaminifu sana
Mwanamke ki asili ni mmbinafsi na hana huruma ya kumuumiza mwanaume esp. ukimkirimu na kumuonesha penzi la kweli.Mim hata siku moja nika semaga nikiona mwanamke anateswa na mwanaume kiukweli simuonei huruma,wacha ateswe tu maana ktk viumbe vilivyo jaliwa kutokuwa na huruma wala haya wanawake wanaongoza duniani,pia na wao wakipata fala kama Hilo jamaa lililo leta uzi wana linyanyasa haswa,mimi nilizaa na mmoja na tulikuwa hatuna mpango wa ndoa na hatukudanganyana tutaonana,Basi tukawa tunalea mtoto akakua hadi miaka minne na mama kipindi hicho kesha olewa na jamaa mwingine na huyo bwana ananifahamu,siku ya siku mwanamke ananiambia anaomba nimzalishe tena maana hataki watoto wake wawe na baba tofauti,nilimtimulia mbali na mpaka Leo hatusalimiani.
Single father nao hawataki kuoa wa kufanana nao, asilimia 90 ya watu wanaopondea single mother ni single father...kweli nyani haoni kalio lakeataolewa na single father mwenzie
Naunga mkono hojaNI SAWA NA KUUA NZI KWA NYUNDO...
HUU USHAURI WA KIPUMBAVU KULIKO WOTE...
Sikiza nkwambie mpenzi. Hivi mie nikiamua kuambatana na wewe in a committed relationship natarajia utakuwa loyal kwangu sababu ni ahadi tunawekeana.Hao ma ex ni hawahawa wanaume ambao ndio waume na wapenzi wa watu wengine, kwa nini inaonekana mwanamke tu ndio mwenye kosa?
Vipi na wewe unatuma sms hadi unakoma wakati ni mume/ mpenzi wa mtu?Sikiza nkwambie mpenzi. Hivi mie nikiamua kuambatana na wewe in a committed relationship natarajia utakuwa loyal kwangu sababu ni ahadi tunawekeana.
Sasa inashangaza unapokuwa na mtu halafu beki hazikabi kabisa. Huwa najiuliza ni kujirahisisha tu. Mbona kuna raia tunachukuaga namba kwao. From there on hutaona ikipokelewa...utatuma sms mpk ukome[emoji28]! Hawa sio wanawake kama nyie au?
Kuwafundisha watoto kuwa ngangari ndio lazima. Mie mwanangu sitaki awe legelege.Hii kwel. Tena bora ss vijana wa sahv tunajitaidi hivyo vizaz vijavyo ndio vitakuwa hatar sana
Wewe nawe andika barua ya uchumba ataipataDuuuuh..... Wanaume design yako wanapatikana wapi Jamani...maana Mimi nakutanaga na wanaume wanao jielewa...Dooh Mungu usinipe mwanaume Kama Huyu...Mdhaifu..
Pole Kaka...
Hapana unakuta mtu hamjuani. Na wa kuzuia hili ni mwanamke maana yeye ndio mwenye gate pass.Vipi na wewe unatuma sms hadi unakoma wakati ni mume/ mpenzi wa mtu?
Hilo neno hapo lenye capital letters umekanyaga waya huku, msisimuko kama wote,Mkuu..shida Sio single mother, shida Ni Huyu mwanaume... Mwanamke unatoa wapi UJASIRi wakumwambia mwanaume...naenda KUTOMBWA tu Mara mojaa...nikimpa haiishi....Inamaana Huyu mwanaume Ni dhaifu Tena udhaifu uliopitiliza
Nani kakudanganya? Mimi naona hiyo ni afueni ya huyo mwanaume, sasa mtu kashashindikana, anatakiwaa awe busy asiwe anamchunguza awe busy na ratiba zakeMwanamke Kama huyo si ndo ataeda kutombwa tu ...Tena ataona Afadhali..
Huyu mwanaume Ni dhaifu Sana..hiyo pombe Sio solution , solution Ni kumuacha Huyu mwanamke.
Ila ameshiashindwa masikini
Mbona unakwepa swali? Kwa hiyo unaruhusiwa kuchepuka maadam mtu hujuani nae?Hapana unakuta mtu hamjuani.
Hamna anaeruhusiwa kuchepuka. Sasa kama umetongozwa na mtu mwengine ukamkatalia tatizo liko wapi? Mie nimetongoza nikakataliwa kuchepuka kutatokea wapi?Mbona unakwepa swali? Kwa hiyo unaruhusiwa kuchepuka maadam mtu hujuani nae?
Hii ni dharau iliyopitiliza.."Kwani nikimpa inaisha" kakuonaje aisee mpaka akujibu hivyo? π€
Hakika yani!Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
ππππ πππππππ πππππ
Kishindo Cha Awamu Ya Tano
Nasema Uongo Ndugu Zangu!!!!
Mungu ndiye anajuaHivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"
"Kwani nikimpa inaisha?" Hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi naye kama hakujatokea kitu chochote?