Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Non sense ...Huwez kwenda Against nature nyie ndo wale mnaosema hata mwanaume ana bikra ...Viande nyie ...
HakikaHabarini mabaharia wenzangu, hasa hasa ambao hawajaoa, kama likichwa la habari linavyojieleza (kwa sauti ya jamaa aliesoma PCM akaona kila kitu anakijua), ngoja nieleze kidogo hapa, unajua ukiijua hesabu/maths vizuri sana yaani ukawa mbobezi haswa, Kuna katabia huwa kanaibuka ka kusimamia jambo unaloliamini kwa msisitizo hii inatokana na kukariri kanuni au taratibu za hesabu kwa mfano Mdogo MAGAZIJUTO.
Bhana kwasasa huku mtaani singo mama wametamalaki:-
Pisi Kali nyingi ni singo mama
Wanawake wanaojua kutafuta na kuisimamia hela ni singo mama
Wanawake wenye makalio mazuri ni singo mama
Wanawake wenye sifa za u-wife material ni singo mama tayari
Wanawake wanaojua kutunza waume ni singo mama
Wanawake wenye elimu zao na biashara zao ni singo mama tayari(kwa wanaotaka kulelewa)
Wanawake maslay queen ni singo mama tayari
Wanawake waaminifu ni singo mama
HAPA HAKUNA NAMNA LAZIMA LAZIMA TUENDANE NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI.hakuna cha kuona kaburi la mzazi mwenzie
π€£π€£π€£π€£Maamuma wanaongezeka duniani
Upo wrong sana. Kadri single mama wanavyoongezeka ni ishara kuwa jamii husika ina wanaume wasiojua kuchagua mwenza wa kuanzisha familia, wanaume malaya, chovya chovya na wasiojua kumlimda mwanamke na wasio na displine na uwezo wa mwanaume wa kuilinda familia na uzao wake. Hiyo ni against nature.Non sense ...Huwez kwenda Against nature nyie ndo wale mnaosema hata mwanaume ana bikra ...Viande nyie ...
Hahah maybe not...some other gentlemen wont care whether you have a kid or not....Love should be unconditional ππͺπ€
Asante kwa kututia moyo maaana dah watu wanamlinganisha Mama na soda haya bhan[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]Hahah maybe not...some other gentlemen wont care whether you have a kid or not....Love should be unconditional [emoji7][emoji25][emoji2960]