Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,259
- 2,971
π π π MMU haiboi kabisa.Kama mnavyojua wajuba moyo bado aujaridhika nikawa
Tuliachana. Hatukukaa muda sana. Huyo hajawahi kuolewa na hapo anapoishi sio kwa shangazi ni H/ girl huyoNi mda sasa tangu nianzishe mausiano na uyu binti Ni binti mzuri kiasi kimwonekano yuko soft mwanzoni nilimuona Ni binti anae jielewa nikawa namshirikisha kwenye Mambo yangu.. Mara yakwanza kumuita getto alikuja na mdogo wake siku mind Sana cuz nilijuwa pengine labda ajaniamini kias
Mnasemaje hapo karibu na kwa mama bhoke jirani na maabara ya wachinaππππMbona kama namfahamu huyo bint!anaish Nyamhongolo!haha jokes
what? mkuu hata maziwa hukuyaona kama yameshanyonyesha? K je?Baadaye sana nilikuja kugundua demu ana watoto 2.Hapo nilishamuweka ndani.[emoji1][emoji1][emoji23]
Hapo hapo,ila yupo salon stand ya magu,hahhaha!na kwao n ukereweMnasemaje hapo karibu na kwa mama bhoke jirani na maabara ya wachinaππππ
Sikufahamu kabisa.what? mkuu hata maziwa hukuyaona kama yameshanyonyesha? K je?
hiyo kuwa single sasa ndio mtihani.Kuwa na mahusiano ni kujidhalilisha tu ni bora kuwa singo,sasa ushamfunua unaona hakufai[emoji34]
Looh nyie watu ni noma kweli kweli hahahaha, hivi wachina bado wapo kweli hapo?Hapo hapo,ila yupo salon stand ya magu,hahhaha!na kwao n ukerewe
Nadhan bdo wapo,ila kpnd cha mzee nahc walikuwa wamesimama kwa mudaLooh nyie watu ni noma kweli kweli hahahaha, hivi wachina bado wapo kweli hapo?
πππ Naona aliwapelekesha kweli, nitakuja kuangalia kiwanja changu sijui kipo maana watu wamezidi utapeli kweliNadhan bdo wapo,ila kpnd cha mzee nahc walikuwa wamesimama kwa muda
Kwanini hakuniambia kua Ni single mother toka mwanzoni ..Kuwa na mahusiano ni kujidhalilisha tu ni bora kuwa singo,sasa ushamfunua unaona hakufai[emoji34]