Kuwa singo mama ni dhambi??? Mbona masingo faza wamejaa kibao lakini atusemi[emoji41]
Siyo dhambi ila unamwambia mtu kabla ili afanye mahmuzi ... Siyo Kila mwanaume anapenda kua kwenye mausiano na single mom
 
Duh[emoji2960][emoji15] Hatari Sana[emoji28][emoji23]
 
Ingia tu mkuu[emoji2][emoji2]
Ila usisahau mwanamke huwa haridhiki. Kuwa alikotoka kulikuwa njema hakumfanyi aache kuichangamkia fursa inayojileta mbele yake.
 
Mkuu hata Mimi sikumoja niliwahi kujiuliza maswali kama hayo lakini sikupata majibu... Inataka moyo lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…