Hongera mkuu[emoji2][emoji2][emoji28]
Mwanzo ulivyoanza kutiririka Nikajua ndo walewale[emoji15]
Mwisho nimekuelewa
 
[emoji848][emoji848]
 
Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?


Hakika raha ya soda uifungue mwenyewe
 
Mtoa mada unatakiwa ujisemee wewe mwnyw na nafsi yako kwamba hauwez kuoa single maza usiushawishi uma ufanye unachokipenda wewe
 
[emoji3]mtoto na mama mtoto.
Tafadhali nakutumia mpesa nani uandae na chakula kabisa Ili nkija tule kwa pamoja mtoto wetu ajue wazazi wake tunampenda [emoji23][emoji23][emoji23].
 
Tafadhali nakutumia mpesa nani uandae na chakula kabisa Ili nkija tule kwa pamoja mtoto wetu ajue wazazi wake tunampenda [emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hatari.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hatari.
Hapo ujanja kwisha ila kiporo hatupashi.usiwe na wasiwasi sawa mama watoto mtoto asie Kama tuligombana [emoji23][emoji23][emoji23].
 
Unaendaje kuuziwa shamba lenye kesi mahakamani???????? Na yapo mashamba mengi tu hayana shida mambo mengine kujitakia na ukute single maza mwenyewe ni age under 28 anagawa kama hana akili timamu kwake kunyamduliwa ndo starehe yake utamuwezaje yan hao watu waacheni kama walivyo ukioa sawa ukipiga na kusepa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…