Hatuoi single maza. Hao ni wakusasambua mbususu tuu
Hii dharau itakutafuna siku moja mkuu.
Unaonaje mwanao, dada yako ambaye alijitahidi kujitunza, siku moja akaachia na kupewa mimba?
Je hana haki kuolewa?
Kama wewe huhitaji wapo wanathamini wataoa tu.
Single parent wana thamani sawa na wanawake wengine.
Mimi nina waheshimu na huwa nina watia moyo kuwa huo sio mwisho wa maisha wala ndoto zao.
 
Hamna mtu anayesema kuwa ni mwisho w maisha yao ila kamwe usiseme eti wana thama i sawa na wanawake wengine, thats not true.
Ni sawa nakusema mwanamke bikra ana thamaninsawa na mwanamke breki pumbuz...never.

Mie bwana dada yangu akitiwa mimba nilishasema kama hajolewa nitamuua mwenye na polisi nitajipeleka na hakimu namwambia kabisa usipoteze muda wa watu hapa. Wee toa hukumu basi.
 
Umelipwa kiasi gani kuja kuanzisha uzi hapa mkuu. Maana ni kama swala amekuja kutetea simba na chui katika kikao cha wanyama na katika utetezi wake akiwaambia swala wenzake kuwa simba kuwala si jambo baya wakubali tu ndio ujirani mwema.


Yaani kabisa unakuja na hizi hoja aiseeee we jamaa weee..... Unataka sisi tufanye Simping.....?!
 
Huo ni ulimwengu wa movies.... Rudi katika maisha ya kitanzania utaelewa hizi vitu umeandika hapa haziapply hata kidogo.

Eti someone to make me smile and happy. Wanawake watanzania ni someone to spend all of your money and have some michepuko nje yako.....
 
Tako? Mbona nitakufilisi sasa
Ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah.... Nimecheka balaa.... Kuwa una mtaji wa kumfilisi.
 
Achana na single parent huu mtiti hauwahusu. Hapa tunawazungumzia single mothers...
 
Ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah.... Nimecheka balaa.... Kuwa una mtaji wa kumfilisi.
Ana balaa huyu...anauliza tako kwa mnyakyu tumekosa sura za mama tu
 
Na hakuna mwanamke wa hivyo akaachwa tu na mwanaume from no where hamnaga mwanaume mjinga hivyo aache mwanamke potential wa aina hiyo.
 
Heading yako tu kusema hatujui shida wanazopitia hapo ndio umefeli, kama unaamua kuwapenda wewe wapende tu maana hilo ni jambo binafsi,

Lakini, asilimia kubwa hawahitaji sympathy, yanajibebesha mimba maksudi ili kukubana umuoe, juzi tu kuna limoja eti linanitumia meseji "nimeondoka kwako nina mimba, na nitazaa" yaani as if ni kunikomoa. Pumbafu kabisa.
 
Ebu tuwe serious kidogo! Ina maana jamii yako WOTE Dada, shangazi, binamu hakuna single mother? Usingependa siku moja waolewe? Au single mothers Ni watoto wa majirani? Tuache ubinafsi.
Unachomaanisha '"siku moja ukiwa na mamlaka juu ya Sheria, kwakuwa atayekuwa ameua ni kaka ako then ili asinyongwe utahalalisha mauaji?""

#YNWA
 

Hawa ndo tunaowataka sio single mother af hauelewek uwe tegemezi dah apo ndo ugumu unatuijia
 

Waoe wewe! Haki ya nani wanawake wavyotesa, sidhani Kama hata siku Moja nitawaonea Huruma, mwanamknakugeka 100%!

Na pia haijulikan Kwa nini anakuja kwako? Ni Upendo wa kweli au anakupenda sababu anataka mgawae stress Zake na hana pa kupeleka.

Wanawake ukiwa penda na kutenda Mema watakupa zawadi ya kukuloga ili wakufanye mtumwa!
 
Naona umeanzisha ugomvi huku umefungia kwenye nyumba ya vioo..Tulia kitakachokupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…