Nakumbuka Kuna dad mmoja humu ndani alijieleza jins mtot wake anavyotezwa na mume wake kisa na mkasa Ni kuwa jamaa anawajali tu mtot wake wa damu na Yule aliyemkuta naye hamjali .mpk dad anapata hasira sna afu dad mwenye mume alifariki ndio akampata Yule pimbi anayemnyanyaza Yule dogo wa marehemu.watu walikuja na kumshuri kuwa mwanaume hayuko tayar kuhudumia mtot ambaye si wake hvyo Ni Bora kubadilisha uzi na kusema mwanume Hana mapenz ya dhati na mwanmke mwenye mtot ..mtoto apendiw anapendwa mam ake tu
 
Unachomaanisha '"siku moja ukiwa na mamlaka juu ya Sheria, kwakuwa atayekuwa ameua ni kaka ako then ili asinyongwe utahalalisha mauaji?""

#YNWA
Namaanisba b
👌👌
Unachomaanisha '"siku moja ukiwa na mamlaka juu ya Sheria, kwakuwa atayekuwa ameua ni kaka ako then ili asinyongwe utahalalisha mauaji?""

#YNWA
Noo! Niko kihumantarian zaidi nafikiria tu kuwa single mother sio kilema na Ni haohao wanaume wanaokataa kuoa single mother pande hii wakati pande ingine kazalisha mtu na kumtelekeza.
 
Aisee we jamaa umemkosea kisaikolojia sana huyo mama, mpigie simu urudishe urafiki wenu hata kama haitabase kwenye mapenzi, au fanya kila liwèzekanalo yeye ndio akuache wewe tengeneza mazingira , iliakuache .. kuliko ulivyo fanya
 
Aisee we jamaa umemkosea kisaikolojia sana huyo mama, mpigie simu urudishe urafiki wenu hata kama haitabase kwenye mapenzi, au fanya kila liwèzekanalo yeye ndio akuache wewe tengeneza mazingira , iliakuache .. kuliko ulivyo fanya
upo sahihi ila alitamani sana ninwambie anachokifikiria maana hta ningemwambia nampenda bado angehisi uongo watu husema akiwazacho mtu ndicho humtokea
 
wew jamaa sasa hukuwa na hisia na demu inakuwaje mpaka ukamgegeda, mbona unataka kutuenjoy mwanawane

Mmm nyege na mazingira tuliyokutana ilikua ata chiz ningegegeda Mana ilikua kwenye project flan ya civil na dem ni civil engineer so tulipokuna uko por tukawa tunapiga show za Kippur por kwa minajir kua mjin kila mtu sna mambo yake hee dem kanogewa kaachia mimba
 
Duh sasa hawa wanawake pamoja na eleimu kubwa ila utamu wa mgegegdo unawapagawisha mpaka wanadaka mimba....kwa kweli mgegegdo uheshimiwe tuu
 
Asee huyu mleta mada n KE au ME

Kuna thread anasema anafurahia kuwa na tako kubwa wanaume wanaavyogeuka kuziangalia

Hapa anasema amempiga chenga single mother

Tushike lipi wakuu MSAADA tutani

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wewe changia mada iliyopo mezani ya masingo maza,masuala mengine achana nayo utakuja kuchanganyikiwa humu.
 
Cha kushangaza utakuta na ww mtakatifuu anaeongea hivi ulishakojolea mtu na ukasababisha usingle
 
Kwa maelezo hayo na umri wa huyo mtoto nimemfahamu huyo binti mtaka ndoa kwa kulazimisha..


USITHUBUTU NDUGU YANGU, UTAJUTA KUZALIWA.
 
Hakuna mwanaume mwenye akili anetelekeza mtoto ww
 
Bora iliyotumika kuliko uikute ipo nusu mwenzako kashainywa ubaya si chupa kutumiaka sna ubaya ni kuikuta soda umenyweka kidog
 
[emoji16][emoji16]kumbe mashuhuda tupo wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…