Mm naona ni heri uoe single mother ikiwa kaburi la aliyemzalisha umeliona otherwise ni mateso na mfadhaiko wa moyo tu unatafuta...
Bado unaweza kupigwa..
Unaweza kuonyeshwa kaburi la mwingine ila jina la kweli la mhusika. Hata ukitaka death certificate itanunuliwa utapewa
 
Mke wa boss kutembea na shamba boy, Kuna kitu anakiona kwenye house boy ambacho hakipo kwa bwana. Hivyo single mother alichokiona kwa huyo aliyezaa nae hakifutiki, kuna siku itabidi wajikumbushie. Uliyemuoa hata uwe na kipato kizuri namna gani, kuna siku ataonana na aliyezaa nae. Kama aliyezaa nae amefariki hapo sawa.
 
Mimi naoa Wingle mother ambaye kwanza hajui baba wa mtoto yupo wapi,na hajawahi kuwasiliana naye tangu wametiana mimba mpaka kujifungua,na anatumia jina la ubini wa mwanamke,then na mu addopt mtoto mazima
Hapo unadanganywa mkuu. Sometimes hawasemagi ukweli
 
😁😁
Sasa kama woote ni breki p.mbu unafanyaje?
Bikra hawapo bhana.. Labda zile za mchongo!
Piga nyeto mkuu na mlenda vugu vugu au kugegeda alafu tupa kule🀣🀣🀣🀣
 
Tisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…