Man Rody
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,263
- 2,987
Hiyo point mkuu 👍, kingine mwanamke sahihi anaweza kukupa utulivu!Je, ikitokea hamna uwezo wa kupata watoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo point mkuu 👍, kingine mwanamke sahihi anaweza kukupa utulivu!Je, ikitokea hamna uwezo wa kupata watoto?
Imekaa kikatiliUkiona singo maza hakikisha mume wake amekufa na kabuli umeliona
NB:usisahau death certificate ya mumewe
Bado unaweza kupigwa..Mm naona ni heri uoe single mother ikiwa kaburi la aliyemzalisha umeliona otherwise ni mateso na mfadhaiko wa moyo tu unatafuta...
Hivi we kijana, lengo lako ni nini hasa?
Mabaharia wa mrengo wa Kataa Ndoa wanawalaghai kuwa wataoa, Binti anakubali ku-test mambo, mimba ikiingia tu, mwana Kataa Ndoa anapita hivi chap!Kwa nini wanazaa kabla ya kuolewa?
😁😁Ata hawa breki pumbuz watu wanaoa ni ujinga tuu.
Mke anatakiwa awe bikra bwana
Hapo unadanganywa mkuu. Sometimes hawasemagi ukweliMimi naoa Wingle mother ambaye kwanza hajui baba wa mtoto yupo wapi,na hajawahi kuwasiliana naye tangu wametiana mimba mpaka kujifungua,na anatumia jina la ubini wa mwanamke,then na mu addopt mtoto mazima
Sasa sinafanya utafiti,mwenyeweHapo unadanganywa mkuu. Sometimes hawasemagi ukweli
Piga nyeto mkuu na mlenda vugu vugu au kugegeda alafu tupa kule🤣🤣🤣🤣😁😁
Sasa kama woote ni breki p.mbu unafanyaje?
Bikra hawapo bhana.. Labda zile za mchongo!
Tisha sanaUKIOA SINGLE MOTHER HAKIKISHA MWANAUME ALIYEMZALISHA UMEMZIDI MAMBO HAYA!
Anaandika, Robert Heriel
Usije ukajichanganya, wala asije akakudanganya mtu yeyote. Single mother sio good match kwenye mahusiano hasa Kwa kijana mdogo mwenye umri Chini ya miaka 40.
Single mother wanahitaji mwanaume aliyekomaa kama Simba Bob Junior.
Elewa kuwa asilimia 90 ya single mother wanamajeraha makubwa na maumivu ya mapenzi, na tayari wanaathari za kisaikolojia katika mapenzi. Hivyo wengi ni wagonjwa wa kisaikolojia.
Hii ni kusema, Kabla hujamuoa single mother ni lazima uhakikishe unamtibu ugonjwa wake wa Kihisia Baada ya kuwa Disappointed na Mwanaume wa awali.
Sasa wewe jichanganye uone yupo Sawa Kwa vile anakuchekea, mnaongea vizuri, sio kweli, wengi ni wagonjwa.
Bila kupoteza muda, Kabla hujamuoa single mother hakikisha mwanaume aliyemzalisha umemzidi mambo yafuatayo;
1. Haiba, Mvuto na mwonekano.
Usije ukajichanganya hata siku Moja, Haiba na mwonekano wa mwanaume ni moja ya mambo ambayo Wanawake wote Duniani wanajivunia. Hakuna mwanamke asiyependa mwanaume asiye na Mvuto. Wasije wakakudanganya na unafiki wao.
Wanawake hawanaga ujanja Mbele ya wanaume wenye haiba, Mvuto na mwonekano mzuri. Tena huyo Mwanaume ATI ndio aliyemzalisha, hapo ndio kabisaa!
Ni lazima umzidi Mwanaume aliyemzalisha Haiba, Mvuto, na mwonekano.
Asije kukudanganya ati hawawasiliani, Huko ni kuzidiwa Akili na Mwanamke.
Elewa kuwa Single mother hata kama atakuwa anachuki vipi Kwa aliyemzalisha lakini kamwe hatoweza kujilaumu kuzaa na Mwanaume mwenye haiba, Mvuto na mwonekano.
Na sio ajabu akawa anajivunia Mbele ya ndugu, rafiki na watoto wake kuwa Mwanaume Fulani alistahili kuwa naye katika safari ya Maisha, hata kama haikuwa riziki kuoana.
Kingine, elewa kuwa ikiwa haujamzidi Aliyemzalisha Kwa haiba, Mvuto na mwonekano Kwa Mwanamke ataihesabu kama aibu kwake, na atakuona wewe sio hadhi yake, hivyo lazima akutese.
Yaani aache kuwasiliana na Mwanaume aliyekuzidi kisa wewe umemuoa😂😂 huwajui Wanawake wewe,
2. Umzidi kiuchumi na kifedha.
Wanawake hawajawahi kujuta kuzalishwa na wanaume wenye uchumi mkubwa na matajiri. Hata kama waachane na kugombana vipi. Bado Mwanamke atajivunia na kuona Sifa kuwa anamahusiano na Mzazi mwenza.
Uliona wapi Mwanamke akamsumbua mwanaume masikini aliyemzalisha? Uliona wapi?
Elewa kuwa Wanawake kwao ni ufahari kuchukua majina ya wanaume wenye sifa Fulani kubwa kama matajiri, Watu mashuhuri, Watawala n.k.
Elewa kuwa utakapomuoa mwanamke aliyezalishwa au aliyewahi kuachwa na Mwanaume mwenye uchumi mkubwa, kwake atataka kutambulika kwa jina la Yule mwanaume mwenye Pesa au tajiri kuliko wewe kapuku.
Kabla hajaoa single mother, jihakikishie kabisa mwanaume aliyemzalisha umemzidi kiuchumi, kifedha na kiutajiri.
Mwanamke hajawahi kuacha kitu Kizuri, fedha, na utajiri hata siku Moja.
Kitendo cha kuona Mwanamke uliyemuoa anawasiliana na Mwanaume aliyemzalisha Kwa kisingizio cha mzazi mwenza kitaalamu Sisi kina Taikon tutakuambia huyo Mwanaume anavigezo Fulani alivyokuzidi aidha ni Mzuri/handsome boy, anahaiba au mwonekano mzuri kukushinda au anafedha kukushinda.
Mwanamke akimpata Mwanaume wa hadhi anayoitaka yaani mzuri/handsome boy au mwenye kipato cha juu automatically ataleta dharau Kwa aliyemzalisha, yaani atataka ajitenge naye na kukata mawasiliano kabisa ili asijeharibu mahusiano yake yenye tija.
Single mother wanahitaji wanaume Heavy weight iwe kiuchumi au kimwonekano au kihadhi.
Na sio single mother tuu, hiyo ni kawaida na asili ya Wanawake wote Duniani.
Mwanamke hata ambaye hajazalishwa, ikiwa yupo sehemu nzuri na Mwanaume wa uchumi wa juu au mwenye mwonekano automatically huwadharau Watu wa hadhi ya Chini.
Ni kawaida mwanamke kwenda kushiriki kwenye matukio ya mwanaume aliyemzalisha kama matukio ya misiba, harusi n.k. ikiwa mwanaume huyo anauchumi mzuri.
Yeye naye atataka ajulikane naye aliwahi kuwa na umiliki Kwa huyo mwanaume.
Mwanamke haishii hapo, hata Watoto aliowazaa kwake ni Sifa kuitwa jina la tajiri au mwenye mamlaka ikiwa tuu alimzalisha.
Lakini wewe kapuku na usiye na Mbele wa Nyuma, sio ajabu Mwanamke hata jina la mtoto asiitwe ubin wako.
Nasisitiza, Mwanamke hajawahi kususa na kuacha kitu Kizuri na utajiri. Haipo hiyo.
Kama umezidiwa na aliyemzalisha Mwanamke uliyenaye alafu anakuambia hawasiliani naye. Jua anakudanganya.
Na hapo ndipo mnapoambiwa Wanawake wanawazidi Akili Kwa sababu ya kuamini maneno Yao kama wajinga wajinga.
Mwisho, Mwanamke anasikia aibu kuoelewa na wewe ikiwa aliyekuwa naye awali alikuwa amekuzidi Kwa mbali Mno.
Kudharauliwa katika mazingira hayo ni Constantly.
Sabato NJEMA
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Tisha sana
Duh hii ni hatari mkuu[emoji817][emoji1666]
UKIONA MWANAMKE AMEKUBALI KUISHI NA WEWE UJUE HANA OPTION NYINGINE
Ndo hivyo mkuuDuh hii ni hatari mkuu
Kuoa single mother inatakiwa uwe jasusi nguli saana
Kifupi ni kazi ngumu mno
Uzi wa wanaume🤔🤔
In short, kaa mbali na single mother