Farey_King
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 461
- 838
Ni kweli kabisa,muhuni haachagi mazima ni kama vile kuna mahali alienda kupoa kisha arudi ni kama simba...huyu mbwa alivamia chimboUkiingia kwenye mahusiano ya watu ambao wamepeana space lazima upigwe na kitu kizito kichwani utajuta
Unazingua manDelta 1, this is Alpha 1 reporting......
Female terrorist in sight.
Man down I repeat man down
Liverpool VPN do you copy?
ULIHISI UKIFANYA ITATOKA? UNA UMRI GANI SORRYSo ulitaka nifanye mapenzi akiwa na hiyo mimba yake
Haya madini adhimu.....sijawai kua playboy 😊🤓😂🤣🤣Mkuu pole chukua hii code apa chini :
Single mother hawapendeki, we chukua namba yake omba gemu, usimuambie unampenda, tengeneza urafiki fulani ambao akitaka show anaibuka
Halafu tafuta wengi kama wa 5
Mimi siwezi kuwa na mpenzi mmoja na siwezi kuwa serios hata kama nitaoa
Kingine mkuu, mwanamke mkumbuke pale ukishakumbuka watu wa maana, wazazi na ndugu wape kipaumbele, trust me mwanamke hata umpe nini ukifanya ujinga mmoja tu anaondoka.
anza kuwa na roho ngumu, just eat and run, ikitokea umempa mimba mmoja wao angalia kama anavutia mweke ndani lakini uwe na backup
Watu wanadekia matisheti ya his na hers
Haaahaaa, 🤣😂🤣😂😂🤣😂🤣Wanaoonewa ni vijana maana ndo kutwa wanalia sana kuhusu single mothers.
Mpaka sasa nyuzi za kushambulia single mother ni nyingi sana ila single mother wao wapo tu wanawafinya vijana dhaifu kimya kimya.
Akishafinywa anakuja kuanzisha uzi. Ilitakiwa nyuzi za single mama kulalamika ndo ziwe nyingi sio vice versa.
Asante kwa ushauriMkuu pole chukua hii code apa chini :
Single mother hawapendeki, we chukua namba yake omba gemu, usimuambie unampenda, tengeneza urafiki fulani ambao akitaka show anaibuka
Halafu tafuta wengi kama wa 5
Mimi siwezi kuwa na mpenzi mmoja na siwezi kuwa serios hata kama nitaoa
Kingine mkuu, mwanamke mkumbuke pale ukishakumbuka watu wa maana, wazazi na ndugu wape kipaumbele, trust me mwanamke hata umpe nini ukifanya ujinga mmoja tu anaondoka.
anza kuwa na roho ngumu, just eat and run, ikitokea umempa mimba mmoja wao angalia kama anavutia mweke ndani lakini uwe na backup
Watu wanadekia matisheti ya his na hers
Bora ulivyonisaidiaMapenzi ya dhati mkuu, dunia bado haijawa na uhaba wa watu kama mtoa mada, alipenda
So ulitaka nifanye mapenzi akiwa na hiyo mimba yake
Mkuu Anza kujiandaa mapema maana hao viumbe kwa matukio huwa hawajambo kbsa.Mnanipa mawazo sana na huyu single maza wangu sijui nimuwahi nimuache mimi maana yasije nikuta kama nynyi
Habari Wakuu
Kumekuwa na uzi nyingi kuhusu single maza wapo ambao wanawatetea na wengine wanawaponda. Mimi ni mmoja Kati ya waanga wa single maza kiukweli ni mtihani mgumu kudumu nao na hii imechangiwa na wao kuwa na akili fupi kwa asilimia kubwa labda mtu alizaa nae awe amekufa, ngoja niwape kilichonikuta.
Ndugu zangu nilimpenda mdada mmoja herufi yake inaanzia J Tena nilimkuta ana mimba ina miezi mi3 na niliona siku nimekutana nae kwenye meet tukaa chini ndio akanieleza na kuniambia huyo mtu aliyempa mimba ameikacha na ameamua kumove on ananionesha hadi message za mazungumzo yao yakionesha kweli mdadda kamove on, na sometimes aliniomba niongee na huyo aliyemzalisha baada ya kuona anamsumbua ili asimfuatilie kabisa.
Baada ya kunithibitishia wameachana nikaona niwe nae kwenye mahusiano na kiukweli nilimsaidia mpaka anajifungua na mahusiano yetu yalikuwa ya moto nikaona kabisa hapa nimepata mtu by the way mimi kwenye maisha yangu yote sijawahi kuwa na mahusiano mawili kwa wakati mmoja yeye alikuwa pekee ndugu nilitoa sana kwake kuanzia muda mpaka kifedha na yeye alinipa mapenzi yakutosha Sana.
Baada ya kupita muda kidogo hapo akiwa tayari ameshajifungua mtoto ana miezi mi4 manzi nikawa si muelewi kabisa na nikaona kuna mabadiliko nayaona kwanza akawa hanitafuti, nikimpigia simu zangu hapokei, na kuanza uswahili wa mambo mengine.
Siku moja nilimpigia simu nikashangaa kapokea mzazi mwenzake jibu alinipa ni kuwa nipo na mama watoto amelala acha kusumbua watu mkuu ilinikera Sana ile kauli nikakata simu wakati huyu manzi aliniambia ameenda kwenye msiba wa ndugu yake kumbe yupo ghetto la mzazi mwenzake. Imepita muda mchache nikakuta nimetumiwa picha mzazi mwenzake yupo na huyo manzi wangu wakipigana mabusu nilijua kabisa aliyotuma hivyo ni yule mzazi mwenzake nikama vile anatafuta bifu na mimi maana number ilikuwa ngeni kwangu na picha nyingine alimpiga akiwa uchi kalala kiupande nadhani ilipigwa bila yeye ( manzi ) kujua maana alikuwa amelala ndugu zangu sikuwahi kuwa kwenye maumivu kama yale kwenye mapenzi aisee kumbuka hapo sijafanya nae mapenzi maana nilimpa muda arecover hali yake ndio niombe mechi
NB: imagine demu nimemvumilia akiwa ana mimba na kipindi chote hicho sikuwa na manzi mwingine au kufanya mapenzi na mtu mwingine alafu the end of the day anakupiga na kitu kizito kiasi hicho
Wiki nzima hii post za visa vya single maza na shuhuda nyingi kuhusu hao viumbe vinanipa mashaka sana nahisi hata huyu wangu atanibadilikia tu huko mbeleniMkuu Anza kujiandaa mapema maana hao viumbe kwa matukio huwa hawajambo kbsa.
Jinga kabisaaaa hiiiii, tena wajawazito walivyo K ya motoooooooo[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Wewe [emoji28][emoji28] [emoji28][emoji28][emoji28] daaaah
Enewei pole
Mapenzi mkuu au wewe haijawahi kupenda?Nimesoma na kushangaa sana, kweli kuna wanaume na wanaume. Una date na mwanamke mwenye mimba isiyo yako? Wonders shall never end!!
🤣🤣🤣🤣 Yeye mwenyewe alisema hawezi kufanya sex akiwa na mimba na mimi nikaheshimu maamuzi yakeMsamehe Tu, alimpeleka mtoto Kwa Baba Ake Ili azibuliwe masikio awe anasikia vizuri🤣🤣
Ila we nawe utakuwa gentleman sana, wanawake hatuvutiwi na nyie kabisa Yani, tunapenda fujo na kisirani....Sawa tufanye ulimuacha hukuomba gemu wakati wa mimba, ndo ajifungue ukae miezi minne yote hiyo? Wenzio 40 ikiisha tu gemu zinaanza, ndo watu wa pwani 40 tunaipakia henna na piko🤣
Kajionea Bora ampelekee Baba watoto amtoe upwiru, we Baki hapo na mapenzi yako ya kifemina🤣🤣🤣