Tafuta ambar hajazaa ukipenda boga penda na maua yake
 
Kwanini unataka watoto wapelekwe Kwa baba yao?wanakuzuia nini?kama Unaona ni kero kwako kwanini usiachane nae?na kama unahisi kuwa watarudiana na baba watoto wake kisa mama yuko na watoto kwanini usimpige chini ukatafuta asiye na mtoto ili uishi maisha yasiyo na wasiwasi?
 
A
Asante mjomba ndio maana nikaja huku ili nipate ushauri sahihi sasa unayo niambia ni ukweli mtupu anayo juhudi Sana kila wakat sms au kupiga simu yaaan hata nikimpa buku la vocha anashukuru mpaka nashangaa sasa Jana kuna kitu kili nifikirisha Sana ndicho kilichonifanya nije huku Asante Sana
 
Wanaobakwa hupewa dawa ya kutoa mimba, hupewa ya kuondoa uwezekano wa kupata ukimwi PEP
 
Mwanamke tokea lini akawa na upendo wa dhati
 
Polesana
 
Haaaa
 
Je upo tayari kukubali uwepo wa mzazi mwenza kwenye ndoa yenu?
Kaka Jokajeusi
Hii kitu nimefikilia sana ukioa mwanamke mwenye mtoto hasa ukaishi na mtoto wake basi huyo mwanaume anakuwa sehemu ya familia yako.
Kwa sababu kuna mtoto wake kwenye nyumba yako ambapo dogo atakuwa anamjua kuwe yule ni mzee wake na kumueshimu sana tuu na kumpa hata maneno ndani yanayotokea kwenye famlia yakl.
Na hata mkeo still atakuwa na uhusiano na baby dady.
Inatakiwa mtu uwe tayari kuwa jamaa ni sehemu ya famila yako.
Ila wewe sio sehemu ya familia yake ya huko.
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…