Duh..Basi wengine tusingezaliwa!😩😭😪
 
Anapigiwa simu na ndugu za aliekuwa mwanaume wake wakimshirikisha mambo mbali mbali ya kifamilia kama misiba, sherehe, au vikao tu. Je utamkataza asiwasiliane na upande ambapo watoto wake ndipo asili yao?
Hivi hiki kitu kinaniumiza kichwa , hivyo ni sahihi kweli??
Hata kumuita wifi au shemeji??
Maana kaka yao anakuwa hajamuoa huyo mwanamke.

Anakuwa ameolewa na mwanaume mwingine iweje awe na ukaribu wa kule tena ukaribu wa kama mke wa kaka yao??
 
Pole sana brother.... Ni shida kubwa hawa viumbe....
 
- story Yako inafanana na ya rafiki yangu mmoja, yeye alikuwa amepata single maza akawa anagharamia Sana, huku demu Mzigo hataki kutoa akisema muda bado, ikapita miezi kadhaa, Demu akawa ana mimba, jamaa ametumia Sana Demu kumbe alikuwa anamdanganya jamaa kuwa asubiri wasomane tabia, kumbe Demu yuko kwenye Mtomb*ano na mzazi mwenzie.
 
Duuh mkuu umefikia wapi now.
 
Kwani zinaa ya wazazi inahu using gani na mtoto?
Kwani mtoto anashilikiswa kwenye zinaa?
Hapana,,ila miminilichomaanisha,,single mama wanafanya hivyo ili kuwafanya hao waliozaa nao wasiwasusie watoto,,,anaamini akifanya hivyo mtoto pia atapata mapenzi ya Baba
 
Hapana,,ila miminilichomaanisha,,single mama wanafanya hivyo ili kuwafanya hao waliozaa nao wasiwasusie watoto,,,anaamini akifanya hivyo mtoto pia atapata mapenzi ya Baba
Wakati huo single huyo Mama anakuwa kashaolewa na mwanaume mwingine au au bado??
Ndo apeleke mbususu
 
Kuna demu hapa mtaani Singo maza katiwa mimba ya Pili na Baba mwingine hajulikani haishi kuniomba hela, sijui nimgonge
 
Hili liuzi Lina nondo zenye ujazo wa hatari Sana, sema binadamu wa ckuiz Ni wabishi Sana hawatakaa wakuelewe
 
Hili liuzi Lina nondo zenye ujazo wa hatari Sana, sema binadamu wa ckuiz Ni wabishi Sana hawatakaa wakue
 
Single maza ni kuwaongezea watoto tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…