Ndio maana nasemaga sisi bado tuko kwenye evolution hatujawa binadamu kamili, bado tuna chembe chembe ya unyani

Unafanyaje mapenzi bila tahadhari ikiwa hauko tayari kulea?
Kwani suala la kuzaa au kuoata mtoto linaamriwa na mtu mmoja tu kwenye mahusiano. Mimi mwenye mbegu na wewe mwenye shamba ni lazima tufikie makubaliano hayo. Tuache kuvurugiana mipango, ni vyema mkapanga kama wazazi wenye elimu na kutumia akiki vizuri kufanya maqmuzi kwa manufaa ya huyo mtarajiwa. Shida yenu dada zetu huamini nyinyi ndio waamuzi, basi ndo mnashika ujauzito tu bila mipango.
 
Mkuu, naomba niweke wazi. Kwa namna yoyote siwezi acha kulea mwanangu lakini je huyu mtoto tumempata kwa makubaliano yapi. Na ndio maana nausema ni mtego kwa sababu kwa namna yoyote utaongezewa jukumu la kukea mtoto ili hali wewe hukua tayari. Sijui umenipata ndugu yangu?? Ila nimeweka wazi, wadada wasitumie hiyo gear, ni vyema kupata consent ya mtu na pia kutoahidi kutowapa wazazi wabkiume majukumu mazito. Majukumu atafanya akijisikia kwani mdada ndio alitaka mtoto.


Lakini swali lakichokozivtu, hivi sperm donors huko ughaibuni huombwa pesa yq matumizi yq hao watoto wanaopatikana kwa mbegu mbegu zao???
 
Ok
 
sasa mwanaume unakubalije ujinga wa kuzaa na mtu usie na malengo nae kwa kigezo kuwa hautailea damu yako? mi damu yangu siwezi kuiacha hivyo hivyo siwezi kumbebesha mimba mwanamke nisie muhitaji awe karibu na maisha yangu
Basi usit**mbe mkuu, suburi ndoa[emoji41]
 
Kamwe hauwezi kuwa mtego maana ni suala ambalo wala halihitaji mjadala. Ni instinct tumeumbwa nayo. We take care of our young...and that's how species survive.

Wewe na akili zako kamili ulale na mwanamke akiwa kwenye siku zake za hatari huku ukidanganywa eti hutahusika kwa namna yo yote katika malezi ya huyo mtoto. Na wewe unakubali? Ili alelewe na nani sasa huyo mtoto? Babake wa kambo? Katika jamii hii iliyo na uadui mkubwa na singo mazazi? Kwangu haiingii akilini kabisa! Ili huyo mtoto aje apate wapi uzoefu wa baba katika maisha yake? Nadhani ni tofauti tu ya misimamo na falsafa za maisha. Tuishie hapo katika hili!

La sperm donor hilo ni suala jingine liache na wala halikaribiani na hili. Kwanza hiyo ni biashara. Unakwenda unalipwa na unapiga bao kwenye chupa mbegu zako zinahifadhiwa. Hata wakienda kuzimwaga huko wewe hutajua. Zikienda kutumiwa huko pia hutajua. Na watakaofaidika nazo unakuta mara nyingi ni couple ambao hawana uwezo wa kupata mtoto. Mama anapandikizwa mbegu hizo na mtoto atapata malezi yote huku akijua kuwa hao ndiyo wazazi wake. Na mara nyingi unasainishwa makaratasi ya confidentiality kwamba hutakaa kamwe ufuatilie mbegu zako zilitumikaje.

Kwa kifupi tu hii ni biashara maalum kwa watu maalum na haiathiri malezi ya mtoto na kamwe huwezi kuilinganisha na Umario wetu huu. Unazalisha. Mama unamjua. Mtoto unamjua. Mnajuana. Halafu eti usilee mwanao kisa tu mamake alikwambia hivyo. Halooo!
 
Vijana hakikisheni ukiwa na single maza faragha unatumia mpira hata mitano unavaa haijalishi unasikia utamu au husikii utamu wewe vaa tuu mpira .

Utakuja kunishukuru
Umesema vyema mzee. Ngoja niadd kwenye paragraph ya mwisho.
 
Hv Kwa nn hamuwez kuandika mstar mmoja tuu ukaeleweka , au nyie ndo waandishi wa Riwaya za hakiki
 
Kwa hiyo wewe ni sperm donor??
Hao Sperm Donor wa huko mbele wanalipwa na moja ya makubaliano ni kutokujuana na muhusika hivyo hatojua mtoto wake yuko wapi na yupo na nani ila kwa kesi yako wewe ni kua mnajuana na huyo Mwanamke na mkakubaliana kuzaa
 
Mkuu mimi nimesema mtu asilee, ila watu wawe waangalifu single mothers wanatumia mbinu hiyo kupata mahitaji yao na kuvimba mtaani kuwa wanalea watoto kwq nguvu zao. Kiufupi, bandiko lqngu nikumbusha kijana anapokuwa anapiga show na hawa single mother asiache kuvaa kondomu. Naomba niishie hapo, naona we Mkuu upo ku defend single mothers ili hali bandiko linasema watu wasilee watoto wao.
 
Bado huna hoja.
Kwanini umbebeshe mimba mwanamke kwa hoja atalea mwenyewe? Huoni ni utaahira. Wewe bado ni mvulana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…