Kwa hiyo wewe ni sperm donor??
Hao Sperm Donor wa huko mbele wanalipwa na moja ya makubaliano ni kutokujuana na muhusika hivyo hatojua mtoto wake yuko wapi na yupo na nani ila kwa kesi yako wewe ni kua mnajuana na huyo Mwanamke na mkakubaliana kuzaa
Tunakubaliana kuwa wewe utahudumia, hivyo mimi nitahudumia pale ninapotaka kwa mfano nachagua kuwa mimi nitalipa Ada tu lakini baadae ubao unageuzwa kinyume na kesi juu na ulivyo mfumo unamlinda mtoto wa kike zaidi, kijana wa kiume atabanwa na mshahara wake utawekwa kwenye ubao wa kukatwa kila mwezi kitu ambacho hakikua makubaliano.
 
Comment of the year,ninashangaa wanaume wanaosema wametegeshewa.
Comment of the year kwa sababu inakuteteeni single mothers. Kwa habari yako bandiko hili limelenga kumkumbusha kuwa anapomnyandua singo maza avae mpira tena zile imara kama rough rider tofauti na hapo atakea familia ya watoto wanne pekee yake na kututukanisha wanaume kwa kauli za kwamba, sihitaji mwanaume mimi, nalea wanangu kwa nguvu zangu wakati nyuma ya pazia kila mwezi anatumiwa child support.
 
Kwani si utumie condom,au nenda kwa Dr wakuelekeze njia za kujizuia mwanaume usimpe mimba mwanamke.
Binafsi nataka kwenda kufanya vasectomy alfu najua kuna mtu atakuja kuleta uongo etii ooh sioni siku zangu ndio atajuta atakapokutana na cheti cha vasectomy. [emoji4]
 
Comment of the year,ninashangaa wanaume wanaosema wametegeshewa.
Inashangaza sana inawezekanaje mwanaume unaweza kuweka au kukubaliana na makubaliano kuwa hautalea damu yako kisa mwanamke kakwambia anataka kuzaa na wewe ila atalea peke yake?
Ni bora kukataa tu kuliko kuweka dhamira ya kutokulea damu yako mimi binafsi siwezi itanitesa sana maisha yangu yote nitakosa usingizi kwa kuikataa damu yangu kwa makubaliano hayo
 
Nimekuwa nasisitiza humu kila wakati. Vijana tumieni Condom.

Mbegu za kiume zikishaingia kwa mwanamke, zinakuwa ni mali halali ya Serikali. Lolote linatofuata baada ya hapo litashungulikiwa kisheria.

Be a Man, Respect yourself.
 

[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Ustawi wa jamii dau la kumuhudumia mtoto huwa ni kama ifuatavyo

1k per day sawa na 30k kwa mwezi
2K per day sawa na 60K kwa mwezi
3K per day sawa na 90 kwa mwezi

Hiyo 1K ni kwa makapukula
Hiyo 2K ni kwa makapuku (kipato cha kati)
Hiyo 3K ni kwa madon

Sasa binti gan atakubari kuzaa kisa 90K kwa mwezi

Nakumbuka kesi ya Diamond na mobeto ustawi wa jamii waliamua diamond awe anampa mobeto pesa ya matunzo 70K kwa mwezi ila diamond due to utu wake akawa anatoa 3 milion

So haupo sahihi
 
Hiyo unazungumzia katika hali ya kwamba umelazimishwa basi sasa unaamua kuhudumia ila kuna ile unaona kabisa hii damu yangu huna jinsi zaidi ya kuhudumia majukumu lukuki. Single mothers ni wakua nao kiakili sana watakufanya uchukie kut*mba. Tutumie kinga zile imara hata ikipasuka mbegu haziiingii kwenye uke wake.
 
Nimekuwa nasisitiza humu kila wakati. Vijana tumieni Condom.

Mbegu za kiume zikishaingia kwa mwanamke, zinakuwa ni mali halali ya Serikali. Lolote linatofuata baada ya hapo litashungulikiwa kisheria.

Be a Man, Respect yourself.
Ni mwendo wa vasectomy tu sasa hivi. Si wazee wa hit and run inatuhusu sana, unaweza fika uzeeni unakabidhiwa rundo la watoto kudadeki unashindwa faidi pensheni yako.

Kauli mbiu yetu tunaodate single mothers
Tumia kondomu hata kama husikii utamu sanaa, cha muhimu wazungu watoke.
 
Wasalaam JF,

Hakika Mungu wa wanaume amendelea kujiimarisha na kusambaza upendo wa kujitambua kwa akili na maarifa.

Wimbi la wanaume kukataa hadaa za ndoa kutoka kwa single mothers ni kubwa sana na linafurahisha sana.

Riporti za hivi karibuni kutoka redio mbao, hasa kwenye magroup ya mitandao na WhatsApp single mothers wanajadili namna ya kujinasua, wanamipango lukiki hasa ya kwenda kwa waganga tabora,, kigoma, gamboshi, sumbawanga.

Jihadhari pita nao njia zilezile usimzoee single mother mpaka ukajisahau.

Beware

Ni hayo tu.

Wadiz Baharia wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…