Kwenye wanume 10....2 ndo wanauwanume wengine ndo hvyo tena.Wanaume wamekuwa wachache sana na Bado wengine wameingia ushoga...
Kifupi wanaume wamepungua
Na baba wa mtoto yupo.. huo upumbavu sifanyiMbona Kama unajitetea iyo Hali.maisha yalivyo magumu ulee mtt ama watt ambao hujawazaa. Hata wanyama wenyewe Ilo hawawezi kulifanya
Acha visingizio, we kama umezalishwa na kuachwa au umeachika kwa tabia mbaya usiongee kuwa wanaume wako wachacheWanaume wamekuwa wachache sana na Bado wengine wameingia ushoga...
Kifupi wanaume wamepungua
Wanaume wamekuwa wachache sana na Bado wengine wameingia ushoga...
Kifupi wanaume wamepungua
Mwanza ila walikuwa watoto wadogo sana hata 20 hawajafikaKabila gani?
Kuna makabila mengi Sana msichana akifikisha miaka 20 hajaolewa anaambiwa japo azae...
Miaka 20 Akiwa hajaolewa wala Hana mtoto anaonekana kachelewa sana
Ni suala la culture hasa pwani na baadhi ya mikoa
Hali ni mbaya na tunakoelekea na wazazi wenyewe ndio hawa single mother kizazi cha wanaume kiko hatariniWanaume wamekuwa wachache sana na Bado wengine wameingia ushoga...
Kifupi wanaume wamepungua
DAMN!... Fresh feedback from the super FRESHMAN! kudos brother!👍🏾👊🏾🙏🏾Wanaume wapo wengi tu.
Shida wanawake wanataka wafanye maisha na wanaume wenye vigezo tofauti na hao wanawake walivyonavyo.
Mwisho wa siku wanaishia kubeba mimba tu za hao wanaume.
Kama binti unataka kuolewa na mtoto wa tajiri na wewe fosi wazazi wako wawe matajiri.
Kama binti unataka kuolewa na director of finance wa vodacom. Na wewe binti fosi uwe auditor wa Pwc ama kpmg ili kazi ziwafanye muwe marafiki mtongozane
Sasa kama wanaume wapo wachache sana hawa singomama nani aliwazalisha?Wanaume wamekuwa wachache sana na Bado wengine wameingia ushoga...
Kifupi wanaume wamepungua
Kuna kipindi kile cha pasaka nilienda kitaa, mabinti wanne ambao hawajavuka miaka 20,watatu wamezalishalishwa na mume za watu.Mmoja huyu kazalishwa na muhuni ambayo hana time nae kabisa.Bonjour
Aisee sio poa ndugu zangu , yani siku hizi single mother zimejaa sana mtaa,. daaa Yani kila Dem nikitongoza Kwa ajili kuwa nae kwenye mahusiano, katika kumi , tisa ni single mother [emoji2]
Mpaka Kuna mda na stop Kwa kutongoza tongoza, na mm Dem akishaniambia ana mtoto, aise Moto unakata kabisa, kwani nyie madem mnaferi wapi ? Au ndio utam wa pipi bila maganda.
Na katika wanaume Kumi, wanaume tisa hawataki kabisa kuoa single mother, hii ratio sio poa kabisa
Mimi sitaki kabisa, kuja kulea bao la mwanaume mwenzangu wakati huyo mwanaume mzima na hema
At least Kwa single mother aliye fiwa na mume wake, na cheti Cha kifo tukione
Na hao wachache waliobaki baadhi yao ndio wanaweka mbegu kila mahali na kuzikimbia afu wanakuja huku wanaanza wasema singo mazas wakati wasababishaji ndio haohaoWanaume wamekuwa wachache sana na Bado wengine wameingia ushoga...
Kifupi wanaume wamepungua
Wazee wetu walilijua hili, saa hizi madhara yanaonekana kwa kuendekeza ndoa za kizungu ambazo wao zimewashinda wakaangukia kwenye ushoga na usagaji.Saa zingineee Bora olewa mke mdogoo ata ka ni wa tatu ama nnee
Maisha ni magumu sana mtaani vijana wanamaliza vyuoni ajira hakuna hawa vijana wanawake wanawakwepa kuanza nao maisha wanaogopeka kama ukomaKuna kipindi kile cha pasaka nilienda kitaa, mabinti wanne ambao hawajavuka miaka 20,watatu wamezalishalishwa na mume za watu.Mmoja huyu kazalishwa na muhuni ambayo hana time nae kabisa.
Sasa kati ya hao watatu walio zaa na mume za watu kuna mmoja ana battle na mke mwenzio ukimtizama anavyo jiamini hadi huruma.
Kuna sehemu kama jamii tunakosea sana ,vijana wa kiume hawataki kuyabeba majukumu yao ya kiume,wameinvest kwenye ,mionekano, kushinda gym na ufundi kitandani hawataki kuyabeba majukumu yao ya kiume.
Wanawake wanaendekeza sana hela,wanapenda sana ngono na ndio maana kwao kukojozwa na muhuni ni kitu bora,kuliko kujenga future na kijana aliye tayari kwa maisha ya ndoa.
Huku kupenda sana kwao hela Kuna wafanya wadondokee kwa waume za watu wakiamini, waume za watu wanajua kutunza.kumbe kidume anapiga akishazalisha anarudi kwa mkewe.
Kuna wanawake wapumbavu wamegeuza mapenzi ni sehemu ya kujipatia pesa na sio kujenga familia mwanaume akishaona uchumi wake unayumba anatemana nayeSababu kubwa ni dada zetu wengi wanachukulia ndoa/mahusiano ni source ya income. Sasa wasipopata income wanayeya. On the other hand boys hawataki mwanamke 'kausha damu', japo mbele za watu utawaskia mwanamke mpe hela lkn deep down hamna anayependa kuombwa hela kila siku. Sasa kinachotokea kwa ladies wanajikuta siku zinasogea na hamna kinachoeleweka. Na hawa wenzetu wana kitu kinaitwa CHANGO! hapo ndo utaskia bora nizae tu niondoe chango.
Shortcut ambayo inawaumiza,kuzaa na mume wa mtu sawa ila mke wake hasijue, akijua hamna hata Senti itakayo mfikia huyo aliye mzalisha.Maisha ni magumu sana mtaani vijana wanamaliza vyuoni ajira hakuna hawa vijana wanawake wanawakwepa kuanza nao maisha wanaogopeka kama ukoma
wanachojaribu wakina dada kwa sasa kujaribu kutafuta short cut ya kuzaa na mme wa mtu mwenye mafanikio ili maisha yawe marahisi