Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Wanaume wamekuwa wachache sana na Bado wengine wameingia ushoga...

Kifupi wanaume wamepungua
Kwenye wanume 10....2 ndo wanauwanume wengine ndo hvyo tena.

Mwanaume unakata single mother unaoa muuaji ameua watoto 3...tena vichanga venye wiki 3 adi 6

Bora single mother kuliko wanaochoropoa vichanga wauaji....

Bora dhambi ya zinaa kuliko dhambi ya kuua asie na hatia
 
Wanaume wamekuwa wachache sana na Bado wengine wameingia ushoga...

Kifupi wanaume wamepungua

Wanaume wapo wengi tu.

Shida wanawake wanataka wafanye maisha na wanaume wenye vigezo tofauti na hao wanawake walivyonavyo.

Mwisho wa siku wanaishia kubeba mimba tu za hao wanaume.

Kama binti unataka kuolewa na mtoto wa tajiri na wewe fosi wazazi wako wawe matajiri.

Kama binti unataka kuolewa na director of finance wa vodacom. Na wewe binti fosi uwe auditor wa Pwc ama kpmg ili uwe na ukaribu nae mkienda ku Audit vodacom, kazi zitawafanya mjuane, muwe marafiki na mtongozane
 
Ngoja nikusaidie kidogo,Kwenye sesnsa iliyopita ya 2022 Idadi ya watu ilikuwa ni 31M wanawake Kwa 30M wanaume ila kiuhalisia Katika hao 30M inayosemwa ni wanaume,Wanaume wa KWELI tupo around 10M pekee!!
Kwanini nasema hv,kati ya hao 30M Kuna Mashoga,Kuna Mariooo Kuna wambea,Kuna wasiojielewa,Kuna ambao hawawezi kufanya maamuzi binafs
Kuna waliotoboa masikio na sio wasanii,Kuna wanaojichubua,Kuna wanaoogopa majukumu Sasa uanaume Sio kutungisha MIMBA pekee!!
 
Wanaume wapo wengi tu.

Shida wanawake wanataka wafanye maisha na wanaume wenye vigezo tofauti na hao wanawake walivyonavyo.

Mwisho wa siku wanaishia kubeba mimba tu za hao wanaume.

Kama binti unataka kuolewa na mtoto wa tajiri na wewe fosi wazazi wako wawe matajiri.

Kama binti unataka kuolewa na director of finance wa vodacom. Na wewe binti fosi uwe auditor wa Pwc ama kpmg ili kazi ziwafanye muwe marafiki mtongozane
DAMN!... Fresh feedback from the super FRESHMAN! kudos brother!👍🏾👊🏾🙏🏾
 
Bonjour

Aisee sio poa ndugu zangu , yani siku hizi single mother zimejaa sana mtaa,. daaa Yani kila Dem nikitongoza Kwa ajili kuwa nae kwenye mahusiano, katika kumi , tisa ni single mother [emoji2]

Mpaka Kuna mda na stop Kwa kutongoza tongoza, na mm Dem akishaniambia ana mtoto, aise Moto unakata kabisa, kwani nyie madem mnaferi wapi ? Au ndio utam wa pipi bila maganda.

Na katika wanaume Kumi, wanaume tisa hawataki kabisa kuoa single mother, hii ratio sio poa kabisa

Mimi sitaki kabisa, kuja kulea bao la mwanaume mwenzangu wakati huyo mwanaume mzima na hema

At least Kwa single mother aliye fiwa na mume wake, na cheti Cha kifo tukione
Kuna kipindi kile cha pasaka nilienda kitaa, mabinti wanne ambao hawajavuka miaka 20,watatu wamezalishalishwa na mume za watu.Mmoja huyu kazalishwa na muhuni ambayo hana time nae kabisa.

Sasa kati ya hao watatu walio zaa na mume za watu kuna mmoja ana battle na mke mwenzio ukimtizama anavyo jiamini hadi huruma.

Kuna sehemu kama jamii tunakosea sana ,vijana wa kiume hawataki kuyabeba majukumu yao ya kiume,wameinvest kwenye ,mionekano, kushinda gym na ufundi kitandani hawataki kuyabeba majukumu yao ya kiume.

Wanawake wanaendekeza sana hela,wanapenda sana ngono na ndio maana kwao kukojozwa na muhuni ni kitu bora,kuliko kujenga future na kijana aliye tayari kwa maisha ya ndoa (kundi hili linaitwa waseminari).

Huku kupenda sana kwao hela Kuna wafanya wadondokee kwa waume za watu wakiamini, waume za watu wanajua kutunza.kumbe kidume anapiga akishazalisha anarudi kwa mkewe.Yaani dada zangu siku hizi wanapenda hela hadi kero na ni moja ya mtego unao wapeleka kuwa masingle mother.

Ila na hizi movement zao za usawa wa kijinsia ,50/50 (ufeminist) umechangia sana hili ndio maana sasa hivi kuna lundo la wanawake ambao wapo vizuri kielimu, wanahela ila hawana mume na japo mbele ya kadamnasi wanatambee na kujisifu kuwa "independent woman ",ila ndani inawaumiza sana na wengine hufikia hatua ya kuzaa na yeyote.
 
Sababu kubwa ni dada zetu wengi wanachukulia ndoa/mahusiano ni source ya income. Sasa wasipopata income wanayeya. On the other hand boys hawataki mwanamke 'kausha damu', japo mbele za watu utawaskia mwanamke mpe hela lkn deep down hamna anayependa kuombwa hela kila siku. Sasa kinachotokea kwa ladies wanajikuta siku zinasogea na hamna kinachoeleweka. Na hawa wenzetu wana kitu kinaitwa CHANGO! hapo ndo utaskia bora nizae tu niondoe chango.
 
Kuna kipindi kile cha pasaka nilienda kitaa, mabinti wanne ambao hawajavuka miaka 20,watatu wamezalishalishwa na mume za watu.Mmoja huyu kazalishwa na muhuni ambayo hana time nae kabisa.

Sasa kati ya hao watatu walio zaa na mume za watu kuna mmoja ana battle na mke mwenzio ukimtizama anavyo jiamini hadi huruma.

Kuna sehemu kama jamii tunakosea sana ,vijana wa kiume hawataki kuyabeba majukumu yao ya kiume,wameinvest kwenye ,mionekano, kushinda gym na ufundi kitandani hawataki kuyabeba majukumu yao ya kiume.

Wanawake wanaendekeza sana hela,wanapenda sana ngono na ndio maana kwao kukojozwa na muhuni ni kitu bora,kuliko kujenga future na kijana aliye tayari kwa maisha ya ndoa.

Huku kupenda sana kwao hela Kuna wafanya wadondokee kwa waume za watu wakiamini, waume za watu wanajua kutunza.kumbe kidume anapiga akishazalisha anarudi kwa mkewe.
Maisha ni magumu sana mtaani vijana wanamaliza vyuoni ajira hakuna hawa vijana wanawake wanawakwepa kuanza nao maisha wanaogopeka kama ukoma

wanachojaribu wakina dada kwa sasa kujaribu kutafuta short cut ya kuzaa na mme wa mtu mwenye mafanikio ili maisha yawe marahisi
 
Sababu kubwa ni dada zetu wengi wanachukulia ndoa/mahusiano ni source ya income. Sasa wasipopata income wanayeya. On the other hand boys hawataki mwanamke 'kausha damu', japo mbele za watu utawaskia mwanamke mpe hela lkn deep down hamna anayependa kuombwa hela kila siku. Sasa kinachotokea kwa ladies wanajikuta siku zinasogea na hamna kinachoeleweka. Na hawa wenzetu wana kitu kinaitwa CHANGO! hapo ndo utaskia bora nizae tu niondoe chango.
Kuna wanawake wapumbavu wamegeuza mapenzi ni sehemu ya kujipatia pesa na sio kujenga familia mwanaume akishaona uchumi wake unayumba anatemana naye
 
Maisha ni magumu sana mtaani vijana wanamaliza vyuoni ajira hakuna hawa vijana wanawake wanawakwepa kuanza nao maisha wanaogopeka kama ukoma

wanachojaribu wakina dada kwa sasa kujaribu kutafuta short cut ya kuzaa na mme wa mtu mwenye mafanikio ili maisha yawe marahisi
Shortcut ambayo inawaumiza,kuzaa na mume wa mtu sawa ila mke wake hasijue, akijua hamna hata Senti itakayo mfikia huyo aliye mzalisha.

Kuna mabinti wengi tuna waona waezaa na watu wenye uwezo kifedha,ila watoto wanaishi maisha ya kuungaunga, hamna mwanamke anayependa mme wake azae nje ya ndoa na ahudumie mtoto wa nje ya ndoa.
 
Back
Top Bottom