Mwanamsimbaz mwenzangu umeingiaje kweny 18 za Hawa viumbe?jitoe harakaa sanaa
 
Utasikia...mimi sipendagi ahadi za uongo....ukisikia hii juua mbele kuna kona kaki na mteremko mkali, kushoto kuna mto😂😂😂😂
😅😅😅 sema hizi siku mbili tatu watu wana malalamiko sana kuhusu single mother ... sijui watalaamu wana fail wapi
 
Nini kimekupata
 
Umetisha
 
Haya makitu hayana shukrani kabisa yana sahau haraka sana, ukiwanalo lifanye spam dustbin.
 
Hamna wanaume wachache,wanaume mnaowataka ndiyo wachache,wanaume wenye Mali na warefu Weusi ndiyo chanzo cha kugongwa na kuachiwa kitoto
Sababu nyingine n kuwa wanaume wengi hawataki kuoa wanataka watoto Tu.Wanaume n wachache huo ndo ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…