Wanaume wenye sifa za kuoa wamepungua, ndio maana wadada wanaamua bora tu wawe na watoto
 
Wanaume bhana,humu mko busy kukandia wakati most of them mna single mother zaidi ya wawili,

Isitoshe Kuna mliolelewa na single mothers,wajomba zenu,au baba zenu wa kambo..

Kwa kweli single mother aliyenilea alishanikataza mara kadhaa kujihusisha na single mothers tena kwa sio kukataa kwa nadharia ni kwa vitendo, basi kuna mwaka nikalazimisha kama mtoa mada, nikakutana na upper cut ,chembe kidevu,[emoji28] Lazima ukae…..nikakumbuka ile methali.
 
Huyo single mother aliyekulea unamaanisha ndio mama Yako mzazi sio?
 


Asilimia kubwa wana behave haya yanayosemwa humu, na ya humu ndio asilimia kubwa ni ya mtaani tunamoishi
 
Mkuu siyo kila Single mother! Single mother wabaya ni wale waliozalishwa na mabwana zao harafu wakatelekezwa! Lakini wale waliofiwa na mabwana zao hao hawana shida.
Widows (wajane), not single mothers. Big difference!
 
Naunga mkono hoja...hakuna rangi utaacha kuona
 
Yaan bora utumie nguvu kubwa kwa vibint vya 22yrs kuliko hii MIDUBWASHA SINGLE MOM. Mim nimeipata kama miwili kwakweli mtihani mtupu

1:LA KWANZA
Hili limekuja na option yakutaka kila siku nilihudumie, sasa mimi nikamuuliza wewe si unamtoto?? vipi kuhusu baba yake?? likanijibu wewe uwe unanitumia hela ya kula kila siku.

Nilichofanya wala sukuhangaika nalo, baada ya siku mbili tatu likanitumia picha ya gauni nilinunulie, mara kaja ofisini nikalipotezea na block juu.

2:LA PILI
Hili kama tunawindana, yaan mapenz yamekuwa kama vile Wagner na Putin, kama linakisasi linataka kunikomoa mie, yaan linataka kulipiza nabaki nalichora najisemea Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.


Ukitaka kupata kero date na watu hawa MA SINGLE MOM, kwakweli ni bora upambane wanachuo sio hii Midubwasha, yaan linajikuta kama lipo bikra vile.
 
Yes, yes , ila sijui aliona nini au huwa anawazaga nini…alisema kwanini? Kwani wanawake wameisha, alinipa sababu mostly zinazofanana na za humu, sijui ni member humu…akaniachia uhuru nikajikuta naweza nikayavagaa kweli.
Kwa hiyo yeye alikuwa mtu wa cinema Kwa baba Yako?
 
Huyo namba 1 ni mjane(widower) sio single mother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…