Acha blah blah jibu swali!

Sasa unaniuliza mimi niliwezaje kwanini mimi ni KE?

HILI SWALI LINAKUHUSU WEWE MWANAMKE

ULIWEZAJE KUMVULIA CHUPI MWANAUME AMBAYE SI MUMEO?
Twende taratibu mkuu
Inamaana zinaa ni m'baya kwa mwanamke pekee sio kwa mwanaume?

Na wewe unawezaje kwenda peku Kuacha mbegu ovyo?

Zinaa ni zinaa tu haijalishi kazini nani
 
Tangu lini Ujana ukawa na Makosa?

Ujana ni Maji ya Moto unapaswa uyachemshie supu unywe ili akili ichangamke!.

Huwezi kufanya ujinga halafu ukasingizia Ujana,utakuwa hauko serious!
 
Hzo ni tabia personal za mtu bna hata wasio single maza wanazo chamuhimu tafuta chala lako ila mambo ya kuja kukejeli wanawake huku kisa single mothers sio sawa
 
Hili neno "chup" umelirudia maranyigi sana adi nikajikuta nawaza mbali sana mkuu....😜
Dahhhhhh...πŸ˜“
Umeandika kwa uchungu sana shemeji....😞
 
Tangu lini Ujana ukawa na Makosa?

Ujana ni Maji ya Moto unapaswa uyachemshie supu unywe ili akili ichangamke!.

Huwezi kufanya ujinga halafu ukasingizia Ujana,utakuwa hauko serious!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€sawa ndugu nimeelewa
 
Chanda chema huvishwa Pete.

Hayo Makosa ndio yanafanywa wasemwe.
Na wanaotenda Mema wanasifiwa.
Hakuna anayehukumu MTU katika masakata haya.
Ila ni ule uhalisia kuwa ukitenda mabaya utalipwa mabaya ikiwapo kudhihakiwa, kukejeliwa na kutukanwa.
 
Tusiwasikilize kwaiyo mbona hamjui mnataka nini

Kwani kwenye mahusiano si ndio pa kuchunguzana
πŸ˜…Ukimsikiliza mzazi ni pamoja na kumtambulisha huyo jamaa kwenu basi hautopata tabu kabisa.

Ila jamaa anakutumia kwa siri kama bangi ndo balaa lake unakuja kuwa single mother.
 
Chanda chema huvishwa Pete.

Hayo Makosa ndio yanafanywa wasemwe.
Na wanaotenda Mema wanasifiwa.
Hakuna anayehukumu MTU katika masakata haya.
Ila ni ule uhalisia kuwa ukitenda mabaya utalipwa mabaya ikiwapo kudhihakiwa, kukejeliwa na kutukanwa.
Lakini mmewaandama sana utasema walijipa mimba wenyew
 
Ukitenda uovu hata ungekuwa Mama wa Yesu au Mama yangu haiepushi Watu kusema Matendo yako mabaya.

Kukimbilia kusema sijui Mama, sijui dada, sijui Binti au mashangazi hakubadilishi chochote katika Yale yasemwayo.

Ni utetezi wa Watu wajinga na wahovyo kusema kuwa ati Mama sijui dada sijui Binti, kama ni single mother na aliupata Kwa upumbavu umama au udada wake au Ubinti wake haubadilishi chochote
 
Kwahiyo nini kifanyike,, maana wanazidi kuongezeka kwa kasi sana mitaani kwetu 😌
 
Iko wazi wanakosa malezi Sasa watafanyaje wakawatupe kabla ya kuwaulumu muangalie na waliowapa hizo mimba ni wanaume Kwa mantiki hiyo wanaume nao Wana makosa hawataki kulea watoto wao
 
Hzo ni tabia personal za mtu bna hata wasio single maza wanazo chamuhimu tafuta chala lako ila mambo ya kuja kukejeli wanawake huku kisa single mothers sio sawa
Hakuna Wa kuwakejel Ila 100% ya wanawake hawapend kuambiwa ukweli Na ukitaka utibuane nao sema ukweli juu yao 95% ya singo maza ni tatizo Fanya M&E ya hoja zote utaelewa hakuna Wa kuwaonea humu
 
Weka akiba ya maneno mkuu
Nimewakumbusha tu happ
 
Hili neno "chup" umelirudia maranyigi sana adi nikajikuta nawaza mbali sana mkuu....😜

Dahhhhhh...πŸ˜“
Umeandika kwa uchungu sana shemeji....😞
Nawaona mabint wengi wanavohangaika sidhani kma walipenda wazalishwe wengine ni wadogo huenda walirubuniwa tu
 
Lakini mmewaandama sana utasema walijipa mimba wenyew

Ndio maana kuna Uzazi wa Mpango.
Hakuna mimba ya kulazimishwa kwenye Hii Dunia.
Ndio maana niliwahi andika kuwa Mwanamke kubeba mimba bila ridhaa ya mwanaume ashitakiwe na iwe jinai.

Mwanaume amefuata ngono wewe unamletea mimba, huo ni ushenzi.

Hiyo ndio Ligi iliyokuwepo,

Hivi jitu zima ulikute linasema kuwa halikujipa mimba Wakati linajua kabisa kuna kalenda yake huo sio uwendawazimu
 
Iko wazi wanakosa malezi Sasa watafanyaje wakawatupe kabla ya kuwaulumu muangalie na waliowapa hizo mimba ni wanaume Kwa mantiki hiyo wanaume nao Wana makosa hawataki kulea watoto wao
Haya makosa yanakuwa kwa mwanamke kwa nn huyo jamaa asije kujitambulisha kwenu? Kwa nn umvulie chupi wakati kwenu hajaleta hata mia ya mahari?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Dah
 
Weka akiba ya maneno mkuu
Nimewakumbusha tu happ

Nina dada.
Nina Binti pia.
Lakini yeyote akitenda upumbavu hata iwe ni Mimi Acha nilipwe sawasawa na upumbavu wangu, dhihaka na kejeli ni sehemu ya malipo Kwa Matendo ya kukiuka maadili.

Mbona single mother waliofiwa na Waume zao hawajisikii vibaya, isipokuwa hawa waliokutana kihuni na wanaume(ikiwemo Mimi).
Shetani hapendi Ukweli.

Shetani akifanya uovu anataka asifiwe ilhali sio Haki yake
 
Twende taratibu mkuu
Inamaana zinaa ni m'baya kwa mwanamke pekee sio kwa mwanaume?

Na wewe unawezaje kwenda peku Kuacha mbegu ovyo?

Zinaa ni zinaa tu haijalishi kazini nani
Tatizo lako hujibu swali!

Unawezaje kumvulia chupi mwanaume ambaye si mumeo?,ina maana hiyo zina wewe ndiye mualalishaji mkuu na siyo mwanaume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…