kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Hiyo soda iliyofunguliwa kama imeonjwa tu shukuru, huenda dawa imewekwa ndani na itakutesa maishani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata dada yako aweza kuwa single mom.Hakuna mwanaume anayeweza kukiacha kitu cha thamani, 95% ya single mother hawafai, we kula mbunye upite kushoto.
Akiwa single mother ni yeye na upumbavu wake.Hata dada yako aweza kuwa single mom.
Dont be too corky.
Si sawa mkuu...AU NI SAWA NA KULA UKOKO WA UGALI
Sure.....Hata dada yako aweza kuwa single mom.
Dont be too corky.
Kila msimu shamba linakuwa jipya....Hivi uaanzaje kuvuna kwenye shamba lililokwisha vunwa na wanaume mwezio kama sio kwenda kuambulia mabua tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawasawa..Niliwahi kuwaeleza humu JF na naendelea kuwakumbusha:
Hakuna "single mother" duniani, hajawahi kutokea na haitotokea.
Kila mtoto ana mama'ke na baba'ke.
Ukiona "singo mama" hana hata mwanamme wa kumbambikia huyo mtoto elewa kuwa alizaa na baba'ke, kaka'ke, mjomba'ke.
Siri tu zinafichwa.
Umeua kishenzi mwanangu. Big upKuoa msichana ambae ameshachoropoa mimba zaidi ya 6 bila kujijua ni sawa na kulala na single mother muuaji kitanda kimoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo issue ni kujulikana na siyo tabia?Shida ni kwamba hao ambao wametoa mimba ni siri yao. Lkn single mama amejiwekea lebo kuwa nilimegwa....mara kadhaa mpk nikapata mototo.
Hapachimbiki mwana. Ila kila mmoja ana uhuru wa kukubali au kukataa kuoa single mother au bikira.Mmmh leo humu ndani patachimbika ngoja waje,ngoja nichukue pop corn na coke yabarid nikae kwenye siti yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke mwenye akili na anayejua thamani ya mume anayeishi naye, hawezi kumpigia ex wake mbele ya mume. Na hawezi kurejea alikotoka.Ila mi huwa najiuliza hivi ukiwa na single mother jamaa akipiga Simu kumjulia hali mtoto wake huku nyie mmetulia yaan sijui unajiskiaje?au mkeo anakwambia baby subiri kidogo niongee na baba flan..au anaongelea pembeni...!!!!au mbele yako...au unakausha tu!!!!
Na ukimwangalia huyo mtoto wake unajiskiaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke mwenye msimamo hapokei simu ya ex wake. Taarifa za mtoto atazipata kwa mtu mwingine atakayeamua apokee.Simu za kila mara ni kuukaribisha ugomvi...apige once in a week na mtoto kukaa nae na kumlea sio tatizo....baraka zinaongezeka kwa usafi wa moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ambaye ana tabia ya ukahaba lkn ni siri yake (yaani ametoa mimba kadhaa).Kwa hiyo issue ni kujulikana na siyo tabia?
Yupi nafuu hapa, muuaji au aliyeamua kutunza na kukubali makosa yake?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Hapana single mother wote wanawasiliana na Baba mtoto.Mwanamke mwenye msimamo hapokei simu ya ex wake. Taarifa za mtoto atazipata kwa mtu mwingine atakayeamua apokee.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Kwannnashauri hizi topic za single mother ziwe sticky.mnatusumbua bure.