Sawasawa..
 
Shida ni kwamba hao ambao wametoa mimba ni siri yao. Lkn single mama amejiwekea lebo kuwa nilimegwa....mara kadhaa mpk nikapata mototo.
Kwa hiyo issue ni kujulikana na siyo tabia?

Yupi nafuu hapa, muuaji au aliyeamua kutunza na kukubali makosa yake?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mmmh leo humu ndani patachimbika ngoja waje,ngoja nichukue pop corn na coke yabarid nikae kwenye siti yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapachimbiki mwana. Ila kila mmoja ana uhuru wa kukubali au kukataa kuoa single mother au bikira.

Mimi nilioa, nikafiwa na mke kaniachia watoto. Huyo asiyezaa hanifai. Naamini nikimwoa mwenye mtoto atakuwa msaada ku handle wanangu.

Hata nisingekuwa mgane, nikimpenda single mama, si dhambi.

Si single mam wote walikuwa malaya. Kuna watu walibananishwa siku moja wakabeba mimba. Huwezi mwita malaya.

Na chanzo cha single mam nibwanaume onja onja kisha wanakimbilia mabikra.

Ninarudia tena, nishagonga wake zenu mliowaoa mabikra. Tena ni malaya kuliko mnavyofikiri. Hatuchekani.

Kila mmoja aamini anachoamini au ale anachokitaka.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke mwenye akili na anayejua thamani ya mume anayeishi naye, hawezi kumpigia ex wake mbele ya mume. Na hawezi kurejea alikotoka.

Kuna mambo hapa tuyatofautishe.

Kuwa single mam ni suala moja na tabia za mtu ni suala tofauti. Ukiona single mam ana tabia hizo ujue ni tabia za mtu si tabia za ma single mama.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo issue ni kujulikana na siyo tabia?

Yupi nafuu hapa, muuaji au aliyeamua kutunza na kukubali makosa yake?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Bora ambaye ana tabia ya ukahaba lkn ni siri yake (yaani ametoa mimba kadhaa).

Swali lako ni sawa na kuuliza yupi nafuu kati ya mwenye ukimwi aliyejitangaza kuwa anao na aliye na ukimwi lkn hajulikani na yeyote? Huyu alaiyejitangaza atanyanyapaliwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…