Maandishi yako yanaonesha wew ni good boy ...ukisali omba sana upate ubavu wako unaostahili
Aiiii! Ameeen!
Nashukur kwa kunielewa at least.
Ntasali sana.... pia na wewe kama hujapata bado, Mungu akujaaliye upate mtu makini. Na kama tayari alokupata aendelee kubarikiwa.
 
Kukataa tunaogopa kuachwa, na hapo tumeshapenda tayari
Nashukuru nliumbwa na roho
Ya uelewa mtu akisema no hua s mlazmish
Na akinishaur na kuona ushaur wake
N wa muhimu hua naubeba saa
Hyo hyo

Hua najifrahia sana kuwa mtu
Mwelewa
 
Nashukuru nliumbwa na roho
Ya uelewa mtu akisema no hua s mlazmish
Na akinishaur na kuona ushaur wake
N wa muhimu hua naubeba saa
Hyo hyo

Hua najifrahia sana kuwa mtu
Mwelewa
Na wengi wakiwa wamelewa wanakumbuka kinga asubuhi
 
Si single mothers wote ni wabaya. Yes wapo walioruka ruka ndio aamefika hapo walipo. Wengine si kwamba walikuwa wahun.. ila tu mazingira yalibadilika. So ni kuangalia na mtu mwenywe yukoje.
Kuwa na mtoto si kwamba ni mbaya.
 
Hahahaha
Wanao sababisha ndio wa endeleze miradi yaooo.
Sisi mnatuonea

hahahahaa et ukipenda boga penda na ua lake mzee duh
sio kweli hili napinga.

hii tabia imezidi na tunakoelekea itaonekana Jambo la kawaida kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…