Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Kweli braza mimi nimetulia sana yaan halaf nakutana na mwanamke tunaenda kila kitu ila ana mtoto. Ina add budern.
Halaf wenyewe wanachukuliaga simple et kama ume mpenda hutajali mtoto,ni kazi sana hii.
Sasa wale tulo tulia ndio tunaumia [emoji1]
Kuna mmoja huyo katulia tatizo ni kwamba kaanza kuniamishia majukumu ya malez ya mwanae hata kabla hatuja date. Alaf yeye ndie anaefukuzia, ni ile ukarib tu lakin anataka ninunue viatu vya mtoto. Wtf man
 
Si single mothers wote ni wabaya. Yes wapo walioruka ruka ndio aamefika hapo walipo. Wengine si kwamba walikuwa wahun.. ila tu mazingira yalibadilika. So ni kuangalia na mtu mwenywe yukoje.
Kuwa na mtoto si kwamba ni mbaya.

mkuu Mimi sijasema ni wabaya hapana ila Mimi naona nitainyanya nafsi Kuwa na mtu ambaye ameshazalishwa
 
Sawa lakini, hii ishu imekuwa kubwa sku hizi at least kasi ipungue
lazima iwe kubwa wanaume hamtaki majukumu yenu na kizazi hiki bahati mbaya hatujajaaliwa uvumilivu kama bibi zetu mi kuliko kulea toto kubwa ni bora nikukimbize nilee watoto wangu bila bugudha
 
Kuna mmoja huyo katulia tatizo ni kwamba kaanza kuniamishia majukumu ya malez ya mwanae hata kabla hatuja date. Alaf yeye ndie anaefukuzia, ni ile ukarib tu lakin anataka ninunue viatu vya mtoto. Wtf man

hahaha komaa hapo mkianza date anaongea na baba mtoto mbele yako .
 
lazima iwe kubwa wanaume hamtaki majukumu yenu na kizazi hiki bahati mbaya hatujajaaliwa uvumilivu kama bibi zetu mi kuliko kulea toto kubwa ni bora nikukimbize nilee watoto wangu bila bugudha

unanivunja mbavu et nikukumbize duh haya bhna
 
Kuna mmoja huyo katulia tatizo ni kwamba kaanza kuniamishia majukumu ya malez ya mwanae hata kabla hatuja date. Alaf yeye ndie anaefukuzia, ni ile ukarib tu lakin anataka ninunue viatu vya mtoto. Wtf man
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Single mother ni sumu kali sana,haijaribiwi ndugu.
Mie nataka nikwambie tu ukiona cha nini wenzio wanasema watavipata lini hivyo we waone ni ugonjwa huku wenzio kwao ni dawa.

Mie naona ni namna mtakavyoelewana tu na huyo single mother sababu kwani mtoto kitu gani mkuu wacha mawazo mgando hivyo wasipate wenza kisa wana watoto. Mmh.

Katafakari upya aiseee. Sababu ndio wapo tayari hivyo hapaswi kuwa na mahusiano mengine sababu wana watoto?
 
Back
Top Bottom